Cannabis
JF-Expert Member
- Jan 20, 2014
- 11,557
- 33,535
Kuna tuhuma zinaanza kuenea taratibu, Inasemekana logo ya Kampuni mpya ya Wasafi Bet imefanana sana na logo ya kampuni ya Wily Trchnology Pvt Ltd, inayoshughulika na masuala ya IT nchini India...Baadhi ya wadau wanasema logo ya Wasafi Bet imetengnenezwa kwa kutumia mfumo wa copy & paste kama nyimbo nyingi zinazotolewa na bosi wa Wasafi Records !