πππKwenye uzuri utasikia βSio kampuni yake nk"
Kwenye mabaya anawekwa yeye "Diamond kakopi"
Akikujibu hili ni tag wabongo baadhi wanatudhalilisha kwa ujinga tuView attachment 2040665
Facebook nao walicopy logo ya sense
Acha kutuona wajinga kuna tofauti gani hapoNi tofauti acha zako au unadhani logo ni hiyo 'w' pekee?