Tuhuma: Logo ya Wasafi Bet yafanana sana na logo ya kampuni iliyopo nchini India kuna janja janja imetumika?

Mkuu hebu tuwekee hapa uthibitisho wa hao wanaolalamika kichinichini kuhusu hiyo logo na bila shaka watakua hao watu kutoka India.
Weka hapa voice note au messages tuone malalamiko yao ili tuone pa kuanzia kuwashauri.
 
Lack of creativity from logo designer.

Hayo ma logo yapo google yamejaa tele wanachofanya ma designer wavivu ni ku google tu "W logo" unapata ma design kibao we unatia rangi unayotaka umemaliza kazi.
 
Umeshasema kampuni ya IT tayar hapo ashajulikana haker ni nani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…