Tuhuma za Juliana Shonza na Clouds media kutaka kumuangusha Diamond ni za kweli?

Tuhuma za Juliana Shonza na Clouds media kutaka kumuangusha Diamond ni za kweli?

Leak

JF-Expert Member
Joined
Feb 22, 2012
Posts
52,916
Reaction score
43,505
Kiukweli mimi ni mmoja wa watu na mashabiki wa Diamond na mashabiki wengine ambao tuna amini Nyimbo na video za wasanii husika ikiwemo Diamond zina makosa na walipaswa kujikita kurekebisha makosa na si kushutumu....maaana ukiniuliza swali Nyimbo zilizofungiwa zina makosa nitakwambia ndio.

Sasa baada ya rungu la Basata kwa wasanii husika kuna watu au taasisi zimekuwa zikiandamwa bila sababu nao ni Juliana Shonza na Clouds na kosa la Juliana Shonza ni kuhudhuria interview ya Kipindi cha XXL cha CLOUDS FM

Ukisikiliza ile interview utagundua kuwa watangazaji karibu wote walikuwa wana watetea wasaniii ikiwemo Diamond tena walitetea sana ikiwemo nyimbo husika...lakini chakushangaza Diamond anaanza kudanganywa kuwa Clouds na Shonza wana shirikiana kuamuangusha....

Bado nakosa jibu kabisa hivi Clouds ndio walimtuma Diamond kurekodi video za namna hii?

Je video na nyimbo za Diamond hazina shida? kwanini watu waangushiwe lawama?

Na mnukuu William Lemtuz akirusha tuhuma kwa Juliana shonza na Clouds media Je ni kweli hizi tuhuma?
I mean WaTanzania tumeaibika sana kwenye music industry Duniani na kwa muda mrefu sana leo finally Mungu amesikia kilio chetu tuna Msanii anayetuweka kwenye ramani ya Dunia ni majuzi amechaguliwa kutengeneza Wimbo na Show ya ufunguzi katika Mashindano ya Kombe la Dunia leo wewe upo busy kupigana naye kwenye Social Media hivi sisi Wabongo what has gone wrong na our thinking? ..halafu naomba kuuliza Naibu Waziri hivi kweli ndiye anayetakiwa kufungia miziki au Basata? hivi ni kweli Naibu Waziri ndiye uliyetakiwa kuwaita kina Gigi Money na Sanchi kweli seriously kuhusu mavazi na tabia zao kama wasanii? ..

I mean something is wrong mheshimiwa aidha unatumiwa bila kujijua au you are missing something but kitendo cha wewe kuungana na "MUNGU MTU" against Diamond HAKIKUBALIKI CHANGE NOW!
 
Yuko mtu mmoja tu anayeweza kuamua na jambo likatekelezeka...na ninajua wakati ukifika ataamua na kutoa maelekezo na Tanzania haitaendelea kuwa kichwa cha mwendawazimu....Muda huo utafika soon or little later ila ni lazima utafika tu.
 
ha ha dai kuweka ile nendera yao angi za chadema kumemponza
27893367_186981622069419_1073558059529273344_n.jpg
 
Hivi lemutuz kaoa?

Na pia amepata taarifa kwamba Kikosi cha wanajeshi wa Marekani wanatoa huduma ya kukata soksi bure, na wameanzia mikoa ya kusini?
hahahahaha nimecheka sana
 
ni raha sana kuona watu wa hiki "chama cha mumiani" wanapovurugana hivi.
endeleeni tu kutoboana macho ili by 26/04 wote muwe vipofu na nchi izaliwe upya!!
hii ndio afya.....
 
Hii series haitaisha bure, lazima kuna Mtu atahaaribikiwa..,
Pamoja na ukweli kuwa Naibu ameteleza katika kutimiza Wajibu wake, ila Diamond ameonesha Utovu wa Nidhamu kwenye kadhia hii jambo ambalo si jema kwa afya ya Muziki wake!!!
 
'Nikae Kimya'- Diamond Platnumz,uyu dogo wakati wenzake wananyeshewa yeye akasema akae kimya kisa bado mdogo leo inanyesha upande wake anatafuta mchawi na watu wa kumsaidia [emoji23][emoji23]
Kila interview analalamika kua CMG wanataka kumshusha ila hawamuewezi ila cha kushangaza pamoja na kusema haogopi ila bado anawalalamikia kila akiongea,Shoza ana mapungufu yake ila dogo alitakiwa atulie afuate taratibu za kawaida ila majigambo kua ana miaka 9 kwenye Bongo Fleva basi anajua kila kitu ipo siku hata amri ya JPM ataipinga kisa kamzidi maarifa kwenye muziki namkumbusha tu wakati akiwa ananyonya tayari Sugu na wenzake walikua wanaubeba huu muziki lakini serikali imemuangushia jumba bovu leo anatumikia miezi 5 jela asilete ujuaji atatulizwa dakika sifuri tu tutasikia kakamatwa na DONA kibwege tu.
 
Hii series haitaisha bure, lazima kuna Mtu atahaaribikiwa..,
Pamoja na ukweli kuwa Naibu ameteleza katika kutimiza Wajibu wake, ila Diamond ameonesha Utovu wa Nidhamu kwenye kadhia hii jambo ambalo si jema kwa afya ya Muziki wake!!!
Niungane nawe kusema kweli Diamond ameonesha utovu wa nidhamu....
 
Back
Top Bottom