William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,584
- 10,400
EXTRA STRAIGHT TALK:- Unaporusha rusha maneno ya kichochezi kuhusu kushambuliwa kwa Mh. Tundu Lissu bakisha maneno na tafuta Facts kwanza ....
Naomba nikukumbushe kwa FACTS:
Mauaji ya Waisilamu Mwembe Chai mwezi Mei, mwaka 1998 - Rais hakuwa Magufuli!
Wakati wafuasi wa CUF Pemba walipopigwa mabomu mwaka 2001 Januari na kuuliwa wafuasi wao 20 - Rais hakuwa Magufuli!
Mwaka 2002 Septemba 2, mwandishi wa habari Daudi Mwangosi alipouliwa na bomu Iringa - Rais hakuwa Magufuli!
Januari 5, 2011, wananchi 3 waliuawa kwa risasi za polisi Arusha kuthibiti maandamano yasiyokuwa na kibali - Rais hakuwa Magufuli!
Juni 28, 2012, Dr. Ulimboka alitekwa na watu wasiojulikana akiwa Leaders Club anapata supu asubuhi - Rais hakuwa Magufuli!
Mwezi Mei, 2013, mwandishi wa habari maarufu Absalom Kibanda alipotekwa na kupigwa vibaya - Rais hakuwa Magufuli!
Juni 2008, Makamu wa Mwenyekiti Chadema aliyekuwa anataka kugombea uenyekiti wa chama hicho na kuishia kufariki kwenye ajali ya ajabu Dodoma - Rais hakuwa Magufuli!
Oktoba 2013, Mwigamba alipopigwa mpaka kuzimia kwa kudai mahesabu ya Chadema - Rais hakuwa Magufuli!
Please msijaribu kupandikiza chuki baina yetu wananchi. Tutaendelea kuwakumbusha kuwa hakuna ushahidi so far wa nani anahusika na kupigwa kwa Tundu Lissu. Wote tunamuombea apone haraka, ila tutaendelea kupinga hukumu za bila FACTS dhidi ya Serikali.
Kuhusu matibabu kwa utaratibu wa Serikali ili Mbunge akatibiwe nje ya nchi na kulipiwa na Serikali ni lazima ithibitishwe na matabibu wa Hospitali ya Taifa Muhimbili kwamba WAMESHINDWA, na jana ni FAMILIA YA LISSU ndiyo iliyodai kutaka Lissu akatibiwe nje na sio madaktari wa Muhimbili kama utaratibu unavyotaka na sababu walisema wanahofia usalama wake.
Now, Serikali ya Rais Magufuli haina cha kufanya isipokuwa kuwaruhusu familia yake wafanye wanachotaka. Thanks, tutaendelea kuwekana sawa kwa FACTS kuhusu kinachoendelea, na some of us tutaendelea kusimamia ukweli tu. Kushambuliwa kwa Lissu hakumfanyi anyone kuwa na haki ya kuhukumu wengine bila FACTS. Taifa ni letu wote, so relax guys. Kama hamna FACTS, nyamazeni iachieni Serikali ifanye kazi yake. STOP THE MADNESS! - le Mutuz
PIA SOMA
- Uelewa wangu juu ya kundi la watu wasiojulikana
~ Matukio ya Watu kupotea na wengine kudaiwa kutekwa, nini kinaendelea kuhusu usalama wa raia
- Kiongozi wa Madaktari (Dr. Ulimboka) atekwa, aokotwa akiwa katika hali mbaya sana