Tuiachie Serikali itoe majibu ya nani anahusika na shambulio la Lissu, msituchanganye wananchi

Tunamuombea sana Lissu, walicholifanya ni kitendo cha kinyama na hakikubaliki.

Shida yetu kubwa ni "emotions", halafu bahati mbaya sana "tunasahau haraka sana". Last two years Dr. Mvungi wa NCCR aliuawa akiwa kwenye mchakato wa rasimu ya katiba, mass killings za Zanzibar, and a whole lot of incidents, kweli tunasahau haraka.

Again, I personally pray for Hon. Lissu.
 
Ni watu wachache sana watakao kuelewa unamaanisha nini? watanganyika wamekuwa mainvestigator na madetective kichwani mwao na ktk ubongo space ya majibu kuko full wakati space ya facts na maswali kuko empty
Waache wawe ma detective kwani ma detective wenyewe hawajawahi kufanikiwa hata siku moja.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni watu wachache sana watakao kuelewa unamaanisha nini? watanganyika wamekuwa mainvestigator na madetective kichwani mwao na ktk ubongo space ya majibu kuko full wakati space ya facts na maswali kuko empty
Akili za kuambiwa changanya na zako ktk hayo aloyataja huyo lipi Mpk Sasa unepata matokeo ya uchunguz wake?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Polisi wa Bongo? Wanao ukiwa wananchi nani anajua muhalifu? Mtasubiri sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hao wote walio fanya unyama huo kuanzia kwa mwalimu pemba kwa mwigamba mwagosi na sasa lisu tuwajumuishe kwenye idadi ya watu waitwao

watu wasio fahamika/julikana?
Suala si serikali ya nani bali ni serikali ileile ya CCM kitu ambacho mwanzisha mada anajisahaulisha. Je wauwaji wa mauaji ya Mwembechai, Zanzibar walichukuliwa hatua gani?
W. J. Malecela Je hamjiulizi ni nini mwisho wa haya? Je hamshauriani kwamba kuna maisha nje ya siasa na utawala? Je mna hakika mtatawala milele? Je ni ninyi ndio watanzania pekee kuliko wengine? Je mnahitaji tuwe na nchi ya mabubusa?
 
ushahidi upo mzee ni ccm na dola yake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi ukitishiwa na wahalifu halafu uitishe press conference na medias. Bila kutoa taarifa kwenye vyombo husika..unataka police waje kwako wakuulize aliyekutisha ni nan??


Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi ukitoa lugha ya uchochezi polisi wanasubiri mpaka ufike uwaambie tena kituoni?
 
Lakini pia serikali ilisema kuwa, 'kwenye hili la madini, ni vita. Yule atakayekwenda tofauti na sisi ni msaliti, adhabu anayostahili inajulikana, askari wanajua'.

Huyu Malecela atuambie maana ya hiyo kauli.
Kumbe mnajijua kabisa kwamba mmesaliti nchi na kuanza kutetea wezi wa madini?

Kweli wewe dawa ya wasaliti huijui?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
It looks like you have been sent by your colleagues to cool down the heat and calm down the nerves.........

Tell them, we shall OVERCOME and if not........

Nyakageni
 
Ni wakati gani serikali ilitoa majibu ya kweli na wahusika wakakamwatwa na kufikishwa mbele za vyombo vya sheria. Hatuna imani tena na hiyo serikali kutokana na matukio yaliyotokea nyuma hayakufanyiwa kazi. Wananchi sio wapumbavu kiasi hicho

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naamini Dr. Mihogo (Slaa) na mke wake Josephine pamoja na kibaraka wao aliyefunga siku 40 ili fulani apite na haya ya toka (Mwanakijiji) watakuwa walifurahi sana na kufunga novena ili Lissu apotee kabisa

Nyakageni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…