Tuiachie Serikali itoe majibu ya nani anahusika na shambulio la Lissu, msituchanganye wananchi

Willy umeandika kweli tupu, tuwe na subira.
Mpaka Leo bado tunasubiri wauaji wa Dr. mvungi, Mawazo, waliomtolea bastola Nape, waliomteka Roma, kupotea kwa Ben Sa nane. Huu uvumilivu gani wa zaidi ya miaka minne. Na hili nalo mnataka tuendelee kuvumilia miaka kibao ijayo? Ngoja yawakute then muone kama ni rahisi kusema tuvute subira

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe unaposema sisi wananchi,unawakilisha wananchi wangapi??[HASHTAG]#wewe[/HASHTAG] ni diwani au mbunge??[HASHTAG]#Subiri[/HASHTAG] ipo siku utajitambua,hata Mnauye Nape na Bashe walikuwa kama wewe zamani kwa mashairi yako yasiyo na facts zozote,ila sasa wanajitambua nadhani umefuatilia michango yako juu ya tukio hili baya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wameshindwa kutoa taarifa ya aliyemtokea bastola Nape itakuwa huyu..wameshindwa kutoa majibu ya wale maafisa wa usalama wanaomlinda lipumba na wakala kichapo itakuwa huyu..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tumwache chui aseme kama ndiyo aliyemjeruhi mbuzi huku tukiiona damu kwenye mdomo wake?
 
Tukifia hatua hi yo basi ni mapanga kwenda mbele, usitupeleke ambako hatujafika!
 
Yeye ni traitor haijalishi nani ame mshoot, it was just a matter of time! Na akiendelea watammaliza.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila Haya yote mnayoyafanya kwa kupanda Hii Mbegu ya Uadui Mkubwa Kati yetu hakika iko siku tu nanyi yatawakumba kwa Upande huo.


Endeleeni kushabikia ila hakikisho kwenu ni kwamba so long wote tuko huku mitaani itapatikana mechanism ya kudeal na mambo ya namna hiyo just time will tell.
 
Be neutral and dont assume you know everything, time will tell
 
1.Naomba na mm nikukumbushe kitu. Kwenye somo la Imla darasa la tatu tulifundishwa kuanza na herufi kubwa kila unapoanza paragraph mpya.

2. Ivi unajua walipo watu "wasiojulikana", kwa jinsi unavyojulika na kila mtu huwenda pia hawa wasiojulikana ni washkaji zako .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi huoni aibu kuwa wewe mwenyewe kwenye familia yako ndio unaakili ndogo? No wonder na connection zote ulizonazo umebaki kuwa mpiga picha wa Bashite
 
Hili ndio Taifa letu na hawa ndio aina ya WAZEE tulio nao kwa sasa kwenye Taifa letu.
 
Kuna issue tunahitaji public hearing. Sio uchunguzi uishie kwenye mtuhumiwa alikuwa anatoroka.
 
Hivi mwisho wa kuchunguza tukio hauna kikomo kwa hisani ya# watu wasiojulikana
 
Hivi mwisho wa kuchunguza tukio hauna kikomo kwa hisani ya# watu wasiojulikana
Le mutuz limetumwa na Bashite kuja kuwachanganya watu huku jukwaani lakini wamelishitukia kilichobaki na kulizomea tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…