Tuiachie Serikali itoe majibu ya nani anahusika na shambulio la Lissu, msituchanganye wananchi

Kwa facts zako una maanisha huko nyuma rais hakua magufuli ila serikali ya ccm ilihusika sio ndio?Hili jamaa uwa linafikiri ndani ya box tu,very hopeless

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi nilijua utatuletea ushahidi wa hao WATU WASIOJULIKANA Serikali au Jeshi la police Lilishawahi Kuwataja ktk Matukio yalio pita.
Ww Subili taarifa za uchunguzi wa tukio la Lissu wakati tukio la 1998 ujamjua muhusika

Sent using Jamii Forums mobile app
 
huo ni upuuzi mtupu umeeleza, tatizo liko ccm maana yake. hiyo serikali yenu haina regitimacy ya wananchi ndio maana nguvu kubwa inatumika kwa MARAIS WOOOTE WA CCM. Sasa hata kama unampenda rais wako kiaso gani ukweli upo tu ni kuwa ni mtu asiyependa kukosolewa na haki haitaki kabisaa. Jaribu tu kuwa mkweli chuki za kisiasa waasisi ni ccm. Angalia kilichotokea zanzibar kwenye uchaguzi, huinua hasira za watu na hapo hata maadui wanaeza kupata mwanya wa kuichonganisha serikali na wananchi.
 


Message from the CEO of Team Bashite....weird
 
Upo sawa mno kiongozi watu wanaropoka pasipo kuwa na subiri viachieni vyombo husika vifanye kazi yake then report ikitoka ndiyo tuijadili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We nae huna jipya, Kazi yako tunaijua we ni katibu mwenezi wa kujitegemea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeeleweka mkuu suala la kuanza kumnyooshea kidole fulani ni kufanya makosa taifa linaendeshwa kwa misingi ya kisheria ,masuala yote yanayohusu usalama wa raia na Mali zao polisi wapo watafanya uchunguzi watajueleza uma wa watz ,kama watakuja na majibu mepesi mepesi hapo ndio tutajua kama kuna kulicho nyuma ya pazia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimesoma neno "KICHOCHEZI"
Ulivyolitumia nikazikumbuka kesi anazoshitakiwa na serikali kwa "uchochezi" naunganisha na maneno ya magufuli akimwambia ****** "washugulikie ndani wakija nje nitarara nao mbere"

Nathibitisha pasipo shaka kuwa unayetutaka tumuache afanye uchunguzi ndiye mtuhumiwa mkuu.
 
Lisu kanyooshewa bunduki wewe kidole kitu gani?
 
Hili suala la uchunguzi unaendelea kwa kesi mbalimbali za upinzani kwa sasa ni sawa na kuchukua kalio kumnyonyesha kichanga ukitegemea litatoa maziwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni watu wachache sana watakao kuelewa unamaanisha nini? watanganyika wamekuwa mainvestigator na madetective kichwani mwao na ktk ubongo space ya majibu kuko full wakati space ya facts na maswali kuko empty
Ukiibiwa ukaenda kuripoti tukio, polisi watakuuliza "UNAMHISI NANI"
Huyo ndio wanaanza nae.
 

Hao wote uliowataja hawalingalini na Lissu kwa upiganiaji haki, na awakuwai kutangazwa kama maadui wa Taifa kwenye vita ya uchumi......
vuta subira Mungu atamponya, na unamjua huwa hana utaratibu wa kuuma maneno.............
 
Eti Le Mutuz anamuombea Lissu apone haraka? Upunguani mtupu
Le mutuz kwanza hamjui Mungu ni jitu lipagani dini yake ni Upambe na kuzurula kwenye mabar club na hotel huku likijendekeza kwa matajiri wa CCM na upambe kwa Bashite
 
Kuna siku nilimsoma Mange.Eti Me Mbebezi.alikimbiwa Na jimama kwa kula sana.Akishakula Sasa.....haaaa Hotpot 4,anamaliza Na hapo hatoi Hata.senti ila kuuliziaa Ubwabwa maharagwe
Sasa unategemea mtu wa aina hii aweje

Sent using Jamii Forums mobile app
 
YOU SHOULD STOP THE NONSENSE!!
Tueleze kuhusu huyu mtu unayempamba kilaleo kuliko umsifiavyo mkeo ama wazazi wako!
1. Amefoji vyeti na haondolewi kazini! Sababu ni usalama? Ametumwa?
2. Anashiriki na watu Wa madawa nakisha kuwageuka! Ametumwa?
3. Alifaulishwa chuo kikuu ushirika kinguvu na hâta kusajiliwa kwake! Ametumwa?
4. Anajeuri ya kutukana wakubwa zake,kujua rais na makamu watakao chaguliwa! Usalama alotumwa?
5. Anajificha kwenye dini zote...msikitini na makanisani na kuhubiri! Sababu ametumwa.
TWENDE TARATIIIBU TU...
6. Alijua Roma atatoka lini!
7. Alipata jeuri ya kumnyakua waziri mkuu mstaafu warioba!
8. Alitengua tinted Kama za gari la ... zisitolewe Tena baada ya watu kuhoji usalama!
9. Alivamia clouds na asipingwe na wakuu wake!
10. Alitamka kumkomesha Ruge akasikika redioni wala asikanywe!
11. Ametajwa kumiliki mali nyiingi zisizoendana na kipato wala asiguswe na takukuru!
NATAKA KUTOA NYONGO KIDOGO...
12. Anapigiwa sana simu toka kileleni na kupewa maamuzi ya kutoa mf. Bomoabomoa ambayo angetoa waziri!
13. Anapewa pesa na mkuu wake ili agawie watu wampende wasimtizame vibaya/ubaya wake!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…