Tuiachie Serikali itoe majibu ya nani anahusika na shambulio la Lissu, msituchanganye wananchi

watu tunataka kuhamisha point ya ukweli badala yake tumeanzisha suara la political gain,suala la lissu nawaomba msihusishe kisiasa kabsa,lissu anawatoto,ana ndg na watu wanaomtegemea na ameumizwa vibaya shida imeanza watu wanataka kupitia kuumizwa kwa lissu wao wapate political gain ili wananchi wawachukiewatu flani hilo halitawezekana,mda mwingine tunaharibu wenyewe upererezi na baadae tunalaumu gvt,

Let us be serious and think sincerely so as we become wth logical facts to a truth on lissu's problem

Tusiingize faida kisiasa suala la mbunge hyu,kumbukeni ameumizwa na amemwaga damu nyingi.



geluka
 
 
Ukisikia wanafiki ndio hawa, ni jana tu ulikuwa unamuita Lissu ni msaliti wa taifa leo eti unatoa ushauri kwa mtu asiye mzalendo.

Maneno yenu ya kinafiki hayatawasaidia kitu.

Mlivyopanga imekuwa ndivyo sivyo kajipangeni upya, mjue kwenye mipango yenu kama mnamshirikisha shetani kwa Mungu haitafanikiwa.
 
Yaaan Wewe Unalinganisha Jana na Leo! Jua dalili YA mvua ni mawingu... Alishasema anafuatiliwaa?

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Hii ni sawa na fisi kumshauri mbuzi njia ya kupita ili asiliwe na fisi
 
Hapa ninaongelea masuala ya usalama wake kama binadamu na si uzalendo
 
Hua napata mashaka sn kuona mtu mzima na mwenye kujiita ana akili timamu kuandika vt vya namna hii
Utekwaji wa Roma mpk ss imeachiwa serikali
Alomtishia silaha nape mchana wa jua la utosi pia iliachiwa serikali.
Kuna majibu yyt tumeshapewa mpk ss.?
[HASHTAG]#achenikutufanyamazombi[/HASHTAG]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bwana Adam dreva wa Lissu hakupata hata mchubuko hahaaaaaa akili za kuambiwa changanya na zako
Mna haraka gani mbona CCM mna wasiwasi hivyo subirini, mliyetaka kumuua amesema atakuja kumwaga kila kitu hadharani yeye siyo Mroma.

"Mwenyekiti, I survived to tell a tale, Please keep up fighting"
 
Bwana Adam dreva wa Lissu hakupata hata mchubuko hahaaaaaa akili za kuambiwa changanya na zako
Alikuwa target yenu pia? Kama mlimlenga na mkamkosa basi hayo ndio tunasema kuwa ni makusudi ya Mungu kumlinda ili aje auseme ukweli.
Mlikosa shabaha!
 
AISEEEEEEEE

APEWE GREEN GUARD BASI.

MSAIDIENI
 
....Hahahaaaa....JF raha sanaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hao wote ni njia moja tuu, usijifanye unaisafisha serikali, Hadi kufikia kiasi kwamba mtu anapigwa risasi hadharani au kuoneshwa bastola hadharani unadhani , Kuna amani nchi hii, au Kuna usalama?
Eti asiyejulikana..!!!![emoji41] Tuseme tuu , anayeogopeka.....maana asingeogopeka ....Yule aliye mtishia bastora nape angekamatwa , au Tundu Lisu alishasema muda kuwa Kuna watu wanataka kumuua, ingekua serikali inajali Raia wake Basi ingechukulia maanani,
Wana subiri tukio litokee ndipo waseme Tuna laani , nani aliyekupa mamlaka ya kulaani, wewe Mungu?
Mjue usipo ziba Ufa utajenga ukuta.
Bora ya kukaa kimya kuliko kusema tuna laani baada ya tukio kutoke ingali mwanzo taarifa ya uharifu ilitolewa, kwanini wasingetafutwa wanaotaka kuua wengine?? Au mulikuwa mnasubiri tatizo litokee ndipo muanze kusema , Tunalani au watafutwe waliosababisha tatizo.
Duh....Bora kuishi ugenini na ukaishi kwa amani kuliko kuishi Tanzania na ukaishi kwa shida.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…