Tuiachie Serikali itoe majibu ya nani anahusika na shambulio la Lissu, msituchanganye wananchi

Ila Nape alitishiwa risasi live je jeshi la police mpaka leo limejitokeza kusema yule alikuwa nani??mbona hawajasema mpaka leo??tuendelee kuamini maneno yao ya kusema oohh tusubirie wanachunguza??
Hakika ni ajabu tunaposema kila tukio tuiache dola ifanye kazi yake inafikia wakati matukio mengine yanatokea wazi wazi lakini hicho chombo cha dola hakina majibu chanya hata tukio moja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata Haji mwaikasu aliuwawa nyumbani kwake. Hao hao polisi walisema ni watu wasiojulikana. Tuwaachie police eti we Malekela wa wapi Mbona Mzeee alikuwa na akili inaonekana Bangi zipo kichwani
 
Akili kubwa sana hii.
 
Mzee unajidhalilisha

Ni bora kukaa kimya
Hata ukimuuliza mtoto wa darasa la kwanza atakuambia muhusika ni nani
Huyu kiumbe anayeitwa Lemutuz ni kati ya wazee wanaozeeka vibaya, hoja zake uwa niza kusikitisha licha ya kujinasibu ni msomi wa level ya juu lkn mambo na matendo yake hayana tofauti na brother Kirikuu.
 
Hakika ni ajabu tunaposema kila tukio tuiache dola ifanye kazi yake inafikia wakati matukio mengine yanatokea wazi wazi lakini hicho chombo cha dola hakina majibu chanya hata tukio moja

Sent using Jamii Forums mobile app

Mkuu watu wangapi kwenye hii nchi wameuliwa je kuna hata siku mojaa jeshi la police limetokea na kusema wanajuwa nani kafanya hivyo si wanaishia kusema watu waaiojulikana kila siku nenda rudi
 
Sema uchunguz wa nch yetu hauna mwisho hata report ya roma bado nayo wanachunguza .sasa issue ya roma bado ya lisu sindio tutasubiri sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vyombo vya dola viende kinyume na mkuu wa nchi? Toka lini kwenye banana republic?
 
Bashite tokea juzi yupo kwa waganga wa kienyeji na Le mutuz wapo wanahangaika kujitoa kwenye msala wa njama za kumuua Lisu.
 
Umetumwa na Daudi Badhite kuja kumtetea humu JF mwambie atavuna alichopanda ngoja Tundu Lissu arudi kutoka kwenye matatibu ukweli utajulikana mbona nimeshaanza kuweweseka?
Le mutuz sasa linashinda kwa waganga wa kienyeji kufanya kafara ili likwepe lawama za Lisu
 
Huyu kiumbe anayeitwa Lemutuz ni kati ya wazee wanaozeeka vibaya, hoja zake uwa niza kusikitisha licha ya kujinasibu ni msomi wa level ya juu lkn mambo na matendo yake hayana tofauti na brother Kirikuu.
Le mutuz kichwani ni empty kabsa ni kama mtu mwenye Elimu ya darasa la pili, uwezo wake wa kufikiri ni 0.0001 IQ yake ipo chini sana ni jipu la kujipendekeza kwa watu wenye pesa ili liwafanyie Ukuadi kwa mabinti wanafunzi wa school bash, sasa linahaha kulala kwa waganga wa kienyeji kuloga Lisu asipone mpaka 2020 kwa kweli Le mutuz yafaa asakwe huko kwenye Bar anaposhinda ili achezee Kichapo cha mbwa mwizi
 

Ni kama vile unazungumza kwa niaba ya 'wananchi'. Hao ni wananchi gani lakini unaowawakilisha?

Aside: Hivi wale watu wasiojulikana waliomuua Prof. Mwaikusa walishajulikana? Au serikali haikuachiwa kutoa majibu ya tukio lile?
 
Huyu ni lemetuz wa insta ohoooo apa siiitaji kusomaa

sent from my iPhone 6
 
Mpumbavu tuu ndiye anayaweza kufatilia na kuamini Huu upuuzi. Huyu amesoma marekani lkn ni mjinga kupitiliza...atajibiwa na shogawake Mange kimambi.
Huyu anatumwa ili watu wafunguke maana kwasasa wanawasiwasi kwamba pengine dereva aliona sura na namba za gari(japo nahisi namba waliweka feki).
endelea kutumika Ila ajue ataishia pabaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…