TUICO TUICO TUICO MNAELEKEA WAPI??? Wafanyakazi wamkimbile nani?

TUICO TUICO TUICO MNAELEKEA WAPI??? Wafanyakazi wamkimbile nani?

lara 1

JF-Expert Member
Joined
Jun 10, 2012
Posts
15,700
Reaction score
29,164
Hichi chama chetu cha TUICO mimi binafsi sikisomi kabisaaaa! Michanga mnapata tena kwa kutumia withholding method, inakatwa juu kwa juu lakini kwa nini maendeleo ya chama hatuyaoni ukilinganisha na miaka mliokaa tangu kuanzishwa, mpo kama hampo? Ile amsha amsha ya 1990s kushneeeeeey!

Alafu mbona viongozi wenu ngazi za chini njaa kali, wanawatoa sadaka wanachama kwa kuendekeza vijihela vya mboga vya uongozi wa kampuni! Kuliko uende hearing na TUICO bora hata uende na mfanyakazi mwenzio mrengo wa kushoto atakutetea kuwatumbukia nyongo kampuni baaaaas! Ila TUICO never trust them!

Inasikitisha wengi wa sie wafanyakazi wa chini we cant afford lawyers, so matumaini yetu uote yalikuwa kwenye TUICO, ukowategemea they deliver you in person to the devil! Maskini wale ambao hatujaenda shule tunakomaaaa, tunapozwajeeee? Hii b9ra uresign tu hata ukienda mahakamani hushindi mama, Mungu atakusaidia?????? Bora kujitoa mchango wa kila mwezi unywe soda baaaaaaaaaaasss!

Zamani TUICO ilikuwa number 1 kwa kufunga mageti ya viwanda mpaka kieleweke, siku hizi ndowasuluhishi na kuwatuliza watu waumie tu wangoje kudra za mola!

NIMEJITOA RASMI TUICO WANANITIA SHOTI TU,!

SHARE YOUR EXPERIENCE NA TUICO AU CHAMA CHENU CHOCHOTECHA WAFANYAKAZI.!
 
Umejitoa vipi?mchango wako wanakata? Mimi nikupe tu idea unahitaji watu wa tano tu kuanzisha chama cha wafanyakazi....hulaZimishwi kuwa Tuico..anzisha chama ukipata watu watano tu... Baasi..unakuwa halali ..Tuico ni outdated
 
Really!!. Ngoja niongee na vijana, nikamate fursa, na jinsi watu walivochoshwa na TUICO, we nhoja, bonge la campaign!
Vyama vya wafanyakazi nchi zingine vina nguvu balaaaa, wanajielewa, coordinated, ujinga hauvumiliwi mpaka raha!
 
Ukishindwa hili ntakushangaa sana..go for it...Tanzania nzima watu wamechoshwa na tuico...Unaweza shangaa where this will take you
 
uzuri sasa hivi kujiunga na hivi vyama ni hiari. binafsi naplan kujitoa very soon.. havina tija.

nakofanya watu kibao wamejitoa, kama nafasi yako ipo ipo tu..
 
Nasubiria sera za chama 'lara' nione labda huko kutakua damu changa zinachemka....mambo yatakua safii
 
lara 1 new members hao Kazi kwako
 
Last edited by a moderator:
Usitegemee tuico wakusaidie,nimefanya kazi sehemu nyingi na mara nyingi viongozi wao wengi ni wale wa chini kabisa amabao wanawaogopa hata kuongea na mwajiri.Pili sheria zetu zinamlinda mwajiri,zipo wapi 13 months salaries na malipo ya nauli za kwenda likizo?.
 
Back
Top Bottom