Tuige ya uingereza

Tuige ya uingereza

idumu

Member
Joined
Jun 5, 2009
Posts
44
Reaction score
1
Ndugu zangu Watz na Afrika kwa ujumla napenda kusema uvujaji wa pesa za umma ni kitu kibaya na hakitakiwa katika serikali inayotaka maendeleo, Tumeona na kusikia katika vyombo vya habari wenzetu walikula hela na kuvurunda ktk uongozi wanazidi kujihuzulu kila kukicha. Na siku chache zijazo watafikishwa mahakani kujibu mashtaka. Je hapa kwetu viongozi wangapi wamejuhuzulu kwa ridhaa yao na baadae kupelekwa mahakani?? Tujifunze na serikali yetu ipo kwa ajili ya akina nanihiiiiii tu??

Toa maoni!!
 
Thubutu! Haitatokea Bongo hata siku moja!

Nani ajiuzulu? hawa wa kwetu mpaka mtu aandikiwe baru ya kujiuzulu kisha alazimishwe kuisoma.
 
ni kitu ambacho akiwezekani kwetu under the current political system
 
ndugu zangu watz na afrika kwa ujumla napenda kusema uvujaji wa pesa za umma ni kitu kibaya na hakitakiwa katika serikali inayotaka maendeleo, tumeona na kusikia katika vyombo vya habari wenzetu walikula hela na kuvurunda ktk uongozi wanazidi kujihuzulu kila kukicha. Na siku chache zijazo watafikishwa mahakani kujibu mashtaka. Je hapa kwetu viongozi wangapi wamejuhuzulu kwa ridhaa yao na baadae kupelekwa mahakani?? Tujifunze na serikali yetu ipo kwa ajili ya akina nanihiiiiii tu??

Toa maoni!!
nivigumu kuiga kujiuzulu maana mavazi ya viongozi wetu yana madoa matupu kwa hiyo kiwango kinakuwa nani ana madoa machache.
 
Back
Top Bottom