rodrick alexander
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 16,784
- 23,312
Kuna kauli imetolewa na SENZO ambayo imeripotiwa na baadhi ya vyombo vua habari ikimnukuu akisema "kuna baadhi ya Watanzania ni mavuvuzela", mwisho wa kunukuu.
Aliyekuwa kocha wa yanga alitoa kauli ua kuwaita washabiki wa Yanga uneducated.
Baada ya kauli hii tulisikia vyombo vya habari vikija juu pamoja na washabiki wa Yanga kusema amewatukana Watanzania lakini kwenye kauli hii ya senzo pamoja na kuripotiwa na vyombo vya habari lakini sijasikia hata mwandishi mmoja akihoji, mashabiki wakihoji wala viongozi wa TFF wakihoji pamoja na kwamba neno lililotumika ni baadhi ya Watanzania likiwakilisha nchi.
Je, huu ni ulimbukeni au ni double standard au ni mtindo wetu wa kuwaruhusu wageni kututolea maneno yoyote wanavyojisikia?