Daa noma sana, sema jamaa atakuwa mpole sio kama yule chizi maarifaMaana yake "Hapa kazi tu"inarudi au!!?
Soma katiba, ibara ya 37, ibara ya 50.Lakin rais wa sasa aliyekuwa makamu alihusiwa kuwa alichaguliwa. Bado mtoa mada anamantiki. Kura ya urais unaweza kupata kwa sababu ya ushawishi wa makamu wako.
Pengine bila yeye kura zisingiletosha. Sasa huyu ambaye wananchi hatujamuunga mkono ni vipi aweze kuwa rais?
Mkuu,CDF aache usenge ,abebe majukumu kibabe afumue hili genge la majambazi na maharamia waliohijack hii nchi kwa miaka 60 ,afungue criminal court ya kudeal nao mmoja baada ya mwingine apige martial law na baada ya kufumua na kuset mifumo upya ndio aruhusu civilian rule Kwa kuitisha uchaguzi mpya ,na huu ndio utakuwa mwanzo wa kuzaliwa kwa Tanzania mpya .
Na kuondokana na hii UTI Sugu inayoitwa CCM
Tatizo macdf wa hii nchi ni vilaza tu na machawa wa UTI sugu ya taifa (ccm) waliochaguliwa bila merits ,so no puppets watiifu wa UTI sugu
We Mzee upo?Katiba haisemi hivyo.
Tangu lini wanajeshi wakawa na akili ya kuongoza nchi?Mkuu,
Tanzania bado ni taifa changa sana, CDF akichukua nchi tunaweza poromoka kiuchumi miaka 20 ijayo ...
Hizi mambo za kiraia zitamalizwa tu na Katiba itapatiakana...
Kumlaumu Rais ambaye na yeye alikuta mambo kama yalivyo ni kumuonea bure tu....
Tulikotoka ni kubaya zaid, at least kwa sasa tuna Road map ya Warioba...
Hawa wanaokwiba mali za umma mpaka uchaguzi kwa ujumla wake na wanaachwa na kushamiri kwa machawa ni sehem ya mkakati( mkono wa Mungu?), we shall get better!
At least i hope so
Bado naamini ni uzushi tu!kwenye haya Hadi watangaze wenyewe!Daa noma sana, sema jamaa atakuwa mpole sio kama yule chizi maarifa
Anthony Mtaka au George Simbachawene au?Daa noma sana, sema jamaa atakuwa mpole sio kama yule chizi maarifa
YamkiniDuuh....au sina D mbili
Gerald Ford alichukua madaraka ya kuwa rais, baada ya rais Nixon kujiuzuru. Tukumbushsne Gerald Ford alikuwa mgombea meenzi wa Nixon na hivyo walishinda kwa kupigiwa kura na wananchi. Hii ni case tofauti kulinganisha na mada iliyoko mezani ambapo makamu wa rais hstokani na ugombea mwrnza.Gerald Ford anabakia mtu pekee kuwa Makamu wa Rais na baadae Rais bila kupigiwa kura huko Marekani.
Je unataka kusema na huko Afghanstan inaweza kutokea?
Si kweli Gerald Ford hakuwa mgombea mwenza wa Nixon ila aliteuliwa kuwa Makamo baada ya Spiro Agnew kujiuzulu mwaka 1973, according to history so hajawahi kupigiwa kura na uchaguzi uliofuatia 1976 alishindwa na Jimmy CarterGerald Ford alichukua madaraka ya kuwa rais, baada ya rais Nixon kujiuzuru. Tukumbushsne Gerald Ford alikuwa mgombea meenzi wa Nixon na hivyo walishinda kwa kupigiwa kura na wananchi. Hii ni case tofauti kulinganisha na mada iliyoko mezani ambapo makamu wa rais hstokani na ugombea mwrnza.
Kwanini unapenda kukurupuka? Fanya tafiti kwanza kabla ya kuandika upupu wakoGerald Ford alichukua madaraka ya kuwa rais, baada ya rais Nixon kujiuzuru. Tukumbushsne Gerald Ford alikuwa mgombea meenzi wa Nixon na hivyo walishinda kwa kupigiwa kura na wananchi. Hii ni case tofauti kulinganisha na mada iliyoko mezani ambapo makamu wa rais hstokani na ugombea mwrnza.
We mwalimu umebadili tena IDMkuu ni hivi;-
Ndipo wataitwa wazee wa kimedani wafanye kikao Cha siri ,ndipo watamtafuta FDR yaani Franklin Delano Roosevelt wa Tanzania kama ilivyotokea kule america,ndipo ataapishwa kuwa ndie na michakato ya kuahirisha chaguzi za serikali za mitaa utafanyika Hadi katiba mpya ipatikane kwanza ndio tutaingia kwenye uchaguzi mkuu!!
Hayo yote ni kwa mujibu wa maandishi ya Tumia akili humu jamvini!!
Kwa mujibu wake ni kwamba FDR alipaswa kuingia mwaka jana lakini operation iliahirishwa ili kumpa nafasi ya kutekeleza maagizo lakini maagizo hayakufuatwa ilibidi "original plan in and out " excuted kama tetesi zinavyovuma!!
Sasa tujiulize FDR atakua nani!!?
Mpina!!?Bashungwa!!?Dr. Biteko!!?au josephat Askofu au Dr mwinyi!!?au Majaliwa kasim majaliwa !!?
Nawaza tu mwenzenu!!
Fuatilia unabii wa Festo Chinolo alielezea hili vyema.Kwa sasa hiki cheo cha urais TZ watu wataanza kukikimbia - maana kinaonekana kugeuka na kuwa na viashiria vya vya exit door !!
Kama ikitokea Katiba yetu ipo kimya basi JWTZ wataingia mzigoni kwa muda wakati tunaweka mambo sawa kufanya uchaguzi mpya.Huu ni mtazamo wangu.
Kwa kuwa katiba imesema makamu wa Rais atakuwa Rais baada ya Rais kufariki au mengineyo hivyo haijalishi ni makamu wa namna gani ,kama katiba imemkubali kama makamu wa Rais basi atakuwa Rais.
Lakini kwa upande mwingine katika mazingira hayo makamu wa Rais na Rais wote watakuwa hawachaguliwa Wala kupigiwa kura popote ,hapo ndio katiba inabidi iseme zaidi nchi kuwa na viongozi ambao hawakuchaguliwa madhara yake na faida zake ni zipi
Binafsi huwa namkubali Sana GWAJI BOYMkuu ni hivi;-
Ndipo wataitwa wazee wa kimedani wafanye kikao Cha siri ,ndipo watamtafuta FDR yaani Franklin Delano Roosevelt wa Tanzania kama ilivyotokea kule america,ndipo ataapishwa kuwa ndie na michakato ya kuahirisha chaguzi za serikali za mitaa utafanyika Hadi katiba mpya ipatikane kwanza ndio tutaingia kwenye uchaguzi mkuu!!
Hayo yote ni kwa mujibu wa maandishi ya Tumia akili humu jamvini!!
Kwa mujibu wake ni kwamba FDR alipaswa kuingia mwaka jana lakini operation iliahirishwa ili kumpa nafasi ya kutekeleza maagizo lakini maagizo hayakufuatwa ilibidi "original plan in and out " excuted kama tetesi zinavyovuma!!
Sasa tujiulize FDR atakua nani!!?
Mpina!!?Bashungwa!!?Dr. Biteko!!?au josephat Askofu au Dr mwinyi!!?au Majaliwa kasim majaliwa !!?
Nawaza tu mwenzenu!!
Nilichomuelewa mleta mada ni kwamba alitaka kuleta taarifa fulani,na siyo lengo lake kujadili hiyo ibara ya katiba.Katiba haisemi hivyo.