situjadiriane
Member
- Jan 5, 2023
- 41
- 49
Tuilinde Tanzania ili tuuize misitu yetu kwa Waarabu.Tanzania ndio nchi pekee ambayo ni mama Yetu. Hivyo ni lazima tuilinde tuipende na kunilinda. Tanzania ndiyo nchi pekee katika Bara la Africa ambayo imejariwa Amani upendo na mushikamano. Tuilinde tuipende Tanzania
Watekaji na wauaji wanaiharibuTanzania ndio nchi pekee ambayo ni mama Yetu. Hivyo ni lazima tuilinde tuipende na kunilinda. Tanzania ndiyo nchi pekee katika Bara la Africa ambayo imejariwa Amani upendo na mushikamano. Tuilinde tuipende Tanzania
Tuilinde kwa mapanga au viwembe,mbona inalindwa siku zote.we hujui Kuna majeshi yanalinda nchi,kaandae shamba mkuu mvua inakaribiaTanzania ndio nchi pekee ambayo ni mama Yetu. Hivyo ni lazima tuilinde tuipende na kunilinda. Tanzania ndiyo nchi pekee katika Bara la Africa ambayo imejariwa Amani upendo na mushikamano. Tuilinde tuipende Tanzania
Wanaokula mema ya nchi, hawataki kusumbuliwa na ndio wanakwambia tulinde nchi yetu wakati wao hawalindi.Tanzania ni shamba la Bibi,wajanja wachache ndo wenye kula mema ya nchi.
Kuilinda nchi ni pamoja na kuwaondoa hawa waliopo sasa na kuweka viongozi wapya, serikali mpya makini inayojali na kulinda raia wake, kodi zao, maisha yao na rasilimali zao. Kama hawajali lolote zaidiTanzania ndio nchi pekee ambayo ni mama Yetu. Hivyo ni lazima tuilinde tuipende na kunilinda. Tanzania ndiyo nchi pekee katika Bara la Africa ambayo imejariwa Amani upendo na mushikamano. Tuilinde tuipende Tanzania