Tuimarishe somo la hesabu

Tuimarishe somo la hesabu

Joined
Feb 11, 2020
Posts
5
Reaction score
2
Bila shaka tunaweza kuwa mashahidi wa jinsi somo la HISABATI lina umuhimu katika Ulimwengu wa sasa,
Utakubaliana nami kuwa Hisabati ndio nguzo muhimu katika maendeleo ya Sayansi na Teknolojia Duniani.

Sasa tuje katika mfumo wetu wa elimu,,matokeo ya darasa la 7, kidato cha 2, na kidato cha nne katika muongo huu wa karibuni somo la Hesabu limekua kama mfup mgumu usio tafunika,
Ufaulu umekua wa chini na usio wa kuridhisha, Hii ina maana gani?

Tunakwenda kutengeneza wataalamu ambao hawawez shindana ktk soko huru la ajira..

Hebu Tushtuke!!!
Tuchukue HATUA
 
Back
Top Bottom