Usingizi ni uzembeKalale watoto kesho school inapita mapema usje pitiwa dadaako anakutegemea
Hujambo binti kubwa la maaduiKalale watoto kesho school inapita mapema usje pitiwa dadaako anakutegemea
Mkuu, mbona unataka kunichukulia demu?Nambie mrembo
Wenye ugaidi wa kweli hawaombi msaada ila wanapambana nao wenywe!Ila tusiojua hata maana ya ugaidi tunajidai tunahitaji msaana wanje.Waulizwe wakongo,wasudani,walibya na wengine wengi hata wanigeria nini ni nini sio tunakurupuka ndotoni na kuropoka!Naona serikali ina hamu ya ugaidi
Yaani kuwepo ugaidi TANZANIA jamii ya kimataifa ikae kimya
Leo vijana wadogo kabisa wanayuo wa chadema wamepewa kesi za ugaidi
Wanachama 23 wa chadema wamepewa kesi y ugaidi
Mhadhili chuo ya Udom amepewa kesi ya ugaidi
Hii sio nzuri polisi tendeni haki
Kwaiyo unaamini wale watoto wa vyuo ni magaidi?Wenye ugaidi wa kweli hawaombi msaada ila wanapambana nao wenywe!Ila tusiojua hata maana ya ugaidi tunajidai tunahitaji msaana wanje.Waulizwe wakongo,wasudani,walibya na wengine wengi hata wanigeria nini ni nini sio tunakurupuka ndotoni na kuropoka!
Haya, funga goli moja pekee kisha niachie my wanguKumbe ndo shemeji
Naomba assist na Mimi nifunge goli dakika 89 hii
Kipa anakiherehere sasa beki nitafanyeje? π€£π€£π π Nimecheka mno
Naona kipa katoka golini Wacha nifunge Kwa utulivu
Tuwaulize wanaoimba nyimbo za ugaidi na uhaini hapa kwetu.Kwaiyo unaamini wale watoto wa vyuo ni magaidi?
shida sio polisi. KimamaNaona serikali ina hamu ya ugaidi
Yaani kuwepo ugaidi TANZANIA jamii ya kimataifa ikae kimya
Leo vijana wadogo kabisa wanayuo wa chadema wamepewa kesi za ugaidi
Wanachama 23 wa chadema wamepewa kesi y ugaidi
Mhadhili chuo ya Udom amepewa kesi ya ugaidi
Hii sio nzuri polisi tendeni haki