Tuiombee Kongo.

Wanajeshi wetu tayari wapo huko.

Mungu awajalie, tupate solution ya kudumu.
 
Black Live matter wanasubiri Israel ibomoe misikiti na hospital inayotimika kama hideout ya Hamas ili waingie Barabarani.
 
Meza Ya Duara Kwa Maridhiano Ndiyo Ufumbuzi
 
Wanajeshi wetu tayari wapo huko.

Mungu awajalie, tupate solution ya kudumu.
Wanajeshi wetu hata wangelikuwa huko bila mandate ya vita kupewa na Umoja wa mataifa hawawezi kusaidia kitu.

Mikataba ya kiulizi ya Umoja wa mataifa ina mizengwe sana.

Ukisimuliwa masharti wanayopewa walinzi hao wa amani utabakia kinywa wazi na kukosa maana ya nia halisi ya kupelekwa kwa wanajeshi hao.

Ndiyo maana raia wa Kongo wamepaza sauti zao kulaani uwepo wa walinzi wa kimataifa ambao hawajawasaidia lolote na adha za hayo machafuko ya umwagikaji damu yaliyochukua miaka nenda rudi.
 
Tanzania Huwa haifungwi mikono kama wengine ndomana kg Huwa hawataki.

Tanzania ni polisi wa Africa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…