Tuiombee Leicester city ichukue kombe kesho jamani

Mavindozii

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2012
Posts
2,111
Reaction score
2,781
Wakuu wa Nchi Mimi ni mshabiki wa Simba kwa hapa TZ na kwa EPL ni Chelsea .Lakini kwa sasa naona hizi club kubwa za ENGLAND mwaka huu kidogo tu wameteleza ,kwa hiyo naombeni tuwaombeeni hichi kitimu kidogo ambacho msimu uliopita walikuwa alimanusura washuke daraja .Mimi kama mimi nimeona na wao wachukue ubingwa wa EPL kwa mwaka huu sio tuu timu kubwa miaka nenda rudi ,nawatakia Leicester City ushindi hapo kesho Mwenyezi mungu akipenda wachukue UBINGWA .PLEASE HAMNA KUKWAZANA WAHESHIMIWA WAKUU WANGU 🙂 JUST FOR A FUN SIO WATU WANACHEZA OT NA WATU HAPA TZ WANANUNIANA ,
 
Leicester anampiga Man U Goal 2+ After the match nicheck
 
Usijali Mkuu maombi yashafika Leister bingwa
 
Mungu ana vitu ving sana vya muhmu sio huo upuuz
 
Unakichaa nini wewe! Viwanja vyoote hujaona hadi O.T!!!!
 
"The way I know Arsene Wenger ukimpa Leicester City Leo hii hapa ilipo inaweza kukosa ubingwa! Sijui Kwa nini?" [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…