situjadiriane
Member
- Jan 5, 2023
- 53
- 67
Waislamu tutoeWa Tanzania nawaomba tunapokaribia kipindi hiki cha uchaguzi ni vizuri kumushilikisha Mungu.
Wa Tanzania Tuna dini
1:Wakristo
2:Waislam
3:Wapagani
Sasa ni wakati wa kila mtu kwenda mbele za Mungu kuliombea Taifa letu ili tuvuke salama
Ha ha haaaa. Wazee wa ubwabwaWaislamu tutoe