KUNANI PALE TGA
Senior Member
- Feb 6, 2009
- 138
- 7
Hatimaye ni siku nzuri kwa wana zimbabwe kupata serikali ya mseto baada ya muda mrefu wa malumbano baina ya zanu pf na mdc.leo tumeona morgan wa tvisangarai kuapishwa kuwa waziri mkuu.kwa hiyo tuiombee hii nchi ipate unafuu haraka na ianze kurasa mpya ili kufanya maisha ya wananchi wake yawe bora tena kama ilivyokuwa mwanzo.god bless zimbabwe.hope this coalition government works out.time will tell.