Tuiombee Zimbabwe

KUNANI PALE TGA

Senior Member
Joined
Feb 6, 2009
Posts
138
Reaction score
7
Hatimaye ni siku nzuri kwa wana zimbabwe kupata serikali ya mseto baada ya muda mrefu wa malumbano baina ya zanu pf na mdc.leo tumeona morgan wa tvisangarai kuapishwa kuwa waziri mkuu.kwa hiyo tuiombee hii nchi ipate unafuu haraka na ianze kurasa mpya ili kufanya maisha ya wananchi wake yawe bora tena kama ilivyokuwa mwanzo.god bless zimbabwe.hope this coalition government works out.time will tell.
 

KUNANI,
Mimi niayeamini kwamba Mugabe hakuingia madarakani kihalali nitaombaje?Niombe Mungu amtoe mgabe madarakani?
 

Tuanze kwa kuiombea Tanzania kwanza - kwetu kwaungua. Naogopa tukifumba macho kuiombea Zimbabwe, tutakapoyafumbua tutakuta moshi tu umebaki na hakuna tena nchi ya amani na utulivu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…