si mtaalam wa mambo ya sheria ila nimetokea kuifatilia kesi ya mwanariadha wa south africa anayetuhumiwa kumuua kwa kukusudia gf wake reeva steenkamp.
hivi siri kubwa ya pistorius kushinda hii kesi iko wapi? Anaweza kuchomoka kama ilivyokuwa kwa Oj Simpson wa Marekani?