McEM Member Joined May 7, 2011 Posts 64 Reaction score 3 May 22, 2011 #1 Kweli mabadiliko ya katiba yanahitajika lakini hii ya zamani walio wengi hatuijui tuelimishwe kwanza ili twende pamoja.
Kweli mabadiliko ya katiba yanahitajika lakini hii ya zamani walio wengi hatuijui tuelimishwe kwanza ili twende pamoja.
Ngambo Ngali JF-Expert Member Joined Apr 17, 2009 Posts 3,517 Reaction score 1,363 May 22, 2011 #2 McEM said: Kweli mabadiliko ya katiba yanahitajika lakini hii ya zamani walio wengi hatuijui tuelimishwe kwanza ili twende pamoja. Click to expand... Ni kitu gani hasi ambacho unahitaji kuelimishwa? Pitia katiba halafu utuzuje, Pata nakala ya katiba yako: kama uko dar es salaam au Zanzibar jaribu kupitia duka la mpiga chapa wa serikali bei ya nakala moja ni shs 5,000/= tu.
McEM said: Kweli mabadiliko ya katiba yanahitajika lakini hii ya zamani walio wengi hatuijui tuelimishwe kwanza ili twende pamoja. Click to expand... Ni kitu gani hasi ambacho unahitaji kuelimishwa? Pitia katiba halafu utuzuje, Pata nakala ya katiba yako: kama uko dar es salaam au Zanzibar jaribu kupitia duka la mpiga chapa wa serikali bei ya nakala moja ni shs 5,000/= tu.
McEM Member Joined May 7, 2011 Posts 64 Reaction score 3 May 23, 2011 Thread starter #3 Ninacho taka kujuzwa haswa juu ya haki zangu za msingi kikatiba nkiwa mtumishi wa serikali kuu badala ya s/order nijuayo
Ninacho taka kujuzwa haswa juu ya haki zangu za msingi kikatiba nkiwa mtumishi wa serikali kuu badala ya s/order nijuayo