Tuipongeze CCM kuwaleta Elsewedy Electric Ltd kuwekeza nchini. Watajenga Industrial park ya Sq M milion mbili

Muuza Kangala

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2021
Posts
1,242
Reaction score
4,813
Hapa tunasema kuwa mama anaupiga mwingi. Kwa kimombo ni diagonal balls.

Sasa kampuni ya Elsewedy Electrical itakuja kuwekeza nchini na kujenga Industrial park kubwa yenye ukubwa wa Sq metre milioni mbili.

Kwa uwekezaji huu ajira na ujuzi utalifaidisha taifa letu.

Ama kwa hakika, mama anaupiga mwingi.
 
Inajengwa wapi?
 
Nitakunya kuzunguka nchi nzima.
Mwekezaji gani anakuja kwenye nchi ambayo sera zake za uwekezaji haziko stable?
Nchi ambayo viongozi wake hawajielewi wanachofanya na wanachotaka?

Nchi yenye magaidi ni salama kwa mwekezaji gani?

Nchi inayopora mitaji ya wawekezaji, kufunga account zao, kuwafungulia makesi ya uongo nk, inamvutia Nani?
 
Utatita kuzunguka nchi nzima, me nasubiri kuona kimba kwenye mipaka yenye water bodies (sijui utatita mara ngapi hahahaha...)
 
Nitakunya kuzunguka nchi nzima.
Mwekezaji gani anakuja kwenye nchi ambayo sera zake za uwekezaji haziko stable?
Nchi ambayo viongozi wake hawajielewi wanachofanya na wanachotaka?

Nchi yenye magaidi ni salama kwa mwekezaji gani?

Nchi inayopora mitaji ya wawekezaji, kufunga account zao, kuwafungulia makesi ya uongo nk, inamvutia Nani?
Kunya ndani kwako chumbani sijui sebuleni yaaani maana utatuletea magonjwa ya milipuko.
 
Hapa tunasema kuwa mama anaupiga mwingi. Kwa kimombo ni diagonal balls.

Sasa kampuni ya Elsewedy Electrical itakuja kuwekeza nchini na kujenga Industrial park kubwa yenye ukubwa wa Sq metre milioni mbili.

Kwa uwekezaji huu ajira na ujuzi utalifaidisha taifa letu.

Ama kwa hakika, mama anaupiga mwingi.
Ujinga tu industrial park ya nani? Ya nini?
Itazalisha nini? Wapi? Na lini? Kwa mahitaji yapi?
Unadhani kila mtu mjinga kama maccm
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Nitakunya kuzunguka nchi nzima.
Mwekezaji gani anakuja kwenye nchi ambayo sera zake za uwekezaji haziko stable?
Nchi ambayo viongozi wake hawajielewi wanachofanya na wanachotaka?

Nchi yenye magaidi ni salama kwa mwekezaji gani?

Nchi inayopora mitaji ya wawekezaji, kufunga account zao, kuwafungulia makesi ya uongo nk, inamvutia Nani?
Sasa wewe kwa kushinda humu unadhani utaibadiri jamii yako iachane na mlengo wa kulia wakufuate wakati idadi kubwa ya wahanga hawako humu?

Badilika pita kila nyumba,mtaa,kijiji,kata,tarafa,wilaya na mkoa uwahamasishe ndiyonutaeleweka sivyo endelea na mambo yako hatuko duniani kukupeni mkate wenu wa kila siku kupitia hisia zenu au matatizo yetu.

Upoooooo!!
 
MATATIZO ya watoto kukosa matundu ya vyoo hayawaathiri wasio ipenda CCM peke yao, hata Wana CCM mnalia, ila nyie ni mburumundu ambao mnamshabikia anayewaliza, kisa tu uchaguzi uliopita aliwapeni wali maharagwe ili mumpe uraisi.
Chama Cha Mazezeta
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Back
Top Bottom