Tuisaidie Polisi kuwabaini mabaunsa walioleta vurugu uwanjani

Tuisaidie Polisi kuwabaini mabaunsa walioleta vurugu uwanjani

Lupweko

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2009
Posts
23,566
Reaction score
24,891
Kama unajua jina na anapoishi. Huyu anakiri mwenyewe kuwa alishiriki kuwazuia Simba kuingia uwanjani:

1741584522783.png
 

Attachments

  • 1741584401765.png
    1741584401765.png
    676 KB · Views: 1
Mambo mengine ni ya kujidhalilisha tu. Kwa hiyo hao mabaunsa wa Yanga wana nguvu za kipekee za kuwasababisha kukimbia uwanjani, na kesho yake kususia mechi!!
Wao mabaunsa ndio wamekiri kufanikiwa kuwazuia Simba. Kama wamefanikiwa, basi wana nguvu!
 
Back
Top Bottom