Tuisambaze zaidi ili sote tuujue ukweli

Tuisambaze zaidi ili sote tuujue ukweli

Kwenye draft constitution ya tume, serikali ya muungano ilikuwa imepewa uwezo wa ku-forsee resources zipi? Unaweza kutupa mfano?,

Na kwa muundo wa serikali mbili, uliopendekezwa na bunge la katiba, iwapo Zanzibar itapeleka bomba la mafuta Kenya kama mungu akiwajalia kupata mafuta au gesi ambayo si mambo ya muungano, ni bunge gani lita-ratify mkataba huo? La muungano {cross boundary/international trade) au bunge la Zanzibar?
 
njoo Mara wacha kurudiarudia maneno wa musoma hatupendi majigambo.


swissme
 
Back
Top Bottom