Tuishi gheto udsm

siansakala

Member
Joined
Aug 12, 2012
Posts
75
Reaction score
10
natafuta mtu wa kukaa nae gheto...mimi ni mvulana niliyechaguliwa kujiunga UDSM 2012/13 B.com in BANKING $ FINANCIAL SERVICES....nina uzoefu wa kukaa gheto tangu shule ya Msingi,,,o level na A level nimekaaa gheto....(NIMEZALIWA GHETO)yeyote MWANAUME,,,namtafuta ili tuweze kuchangia kodi ya nyumba maeneo karibu na chuo ili tuwe tunatembea kwenda chuoni tusipande gari ili kupunguza gharama...kodi-30000...maji-5000..umeme-10000 KWA MWEZI lile BOOM linatosha kabisa tukiwa wawili tu...VITANDA,,MEZA ,,,VITI...JIKO;;;VYOMBO ninavyo...SO full KUPIKA..vyakula vya kununua HAVINA VIRUTUBISHO....Mie naishi DAR so nina UZOEFU na hili JIJI....KARIBUNI SANA WAKUJA.,,


​
 
N-PM 2013 mwezi wa 10....kwa sasa madogo wa kunibeba wapo kibao....wakuja watapita hapa
 
1st year huwa wanakb hostel wewe unanipa wasiwasi ama unapenda ule mchezo wa wanaume wengi wa ud? Unaona hostel hutokuwa huru?
 
1st year huwa wanakb hostel wewe unanipa wasiwasi ama unapenda ule mchezo wa wanaume wengi wa ud? Unaona hostel hutokuwa huru?

Ulishafanyiwa hako kamchezo nini mbona una hasira hivyo?
 
usijidanganye maeneo ya Karibu na udsm hakuna chumba cha Bei hio,harafu hiyo pesa ya boom haitoshi may be kwenu wakusaidie,habari ndio hiyo
 
Kahhhaaaaaa, kwanza wakuja afu wakae na wewe utawaunilize wewe
 
kama wewe ni mzoefu wa kuishi dar kwanini usitumie uzoefu huo kutafuta chumba mabibo hostel?
 

karibu Udsm
 
kwani B-com mtapewa mkopo au maana naona wasema issue ya boom
 
wewe kweli umeamua kula yaani hata material huna kha sikai na wewe hahahah UTANI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…