Tuisila Kisinda arudisha mpira kwa Yanga

Tuisila Kisinda arudisha mpira kwa Yanga

Jayden News

Member
Joined
Aug 28, 2022
Posts
29
Reaction score
94
IMG_3521.jpg
 
Mimi namuonea huruma Zimbwe... Alishikuru sana baada ya kutoka Huyu jamaa..

So far Kuna ,,Aziz K Mzee wa matobo na huyu Kisinda Mzee wa pumzi ya moto
 
Mimi namuonea huruma Zimbwe... Alishikuru sana baada ya kutoka Huyu jamaa..

So far Kuna ,,Aziz K Mzee wa matobo na huyu Kisinda Mzee wa pumzi ya moto
Na vile anavyopenda kupanda kwenda kushambulia! Aisee atawasababishia mabeki wake wa kati na viungo wakabaji kadi, mpaka basi.
 
Hawa utopolo wanavyotutendea katika usajili siyo haki kabisa wanatuvunjia heshima yetu , tulizoea kuheshimiwa ndani ya miaka minne sasa wanataka kutudhalilisha katika soka
 
Back
Top Bottom