Jayden News
Member
- Aug 28, 2022
- 29
- 94
Kabeba kombe la shirikishoAlikosa pakwenda ndio maana karudi utopoloni
Km Chama nae alivyokosa pa kwenda.Nawaonea huruma timu za bongo huku kisinda huku Morrison katikat Aziz ki si balaa hili.
Dah makolo wanatia hurumaMimi namuonea huruma Zimbwe... Alishikuru sana baada ya kutoka Huyu jamaa..
So far Kuna ,,Aziz K Mzee wa matobo na huyu Kisinda Mzee wa pumzi ya moto
Na vile anavyopenda kupanda kwenda kushambulia! Aisee atawasababishia mabeki wake wa kati na viungo wakabaji kadi, mpaka basi.Mimi namuonea huruma Zimbwe... Alishikuru sana baada ya kutoka Huyu jamaa..
So far Kuna ,,Aziz K Mzee wa matobo na huyu Kisinda Mzee wa pumzi ya moto
Kama alivyotemwa chama au sio?Ametemwa huko anakimbia kimbia tu kama digidigi
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Nilitegemea utasema vilabu vya CAF vinatia huruma. Mawazo ya wanayanga ni Simba, wenzao Simba wanawaza Mamelodi, Al Ahly, Zamalek, Wydad na the likeDah makolo wanatia huruma
Hao ulio wataja wana makombe ya CAF wewe una nini?Nilitegemea utasema vilabu vya CAF vinatia huruma. Mawazo ya wanayanga ni Simba, wenzao Simba wanawaza Mamelodi, Al Ahly, Zamalek, Wydad na the like