Kurunzi
JF-Expert Member
- Jul 31, 2009
- 9,753
- 10,747
Ni kijana tu kaghafilika ndiyo maana ameomba radhi. Yes alicho kifanya Ally Kamwe huenda kimeleta ukakasi lakini hebu tulitazame hili kwa jicho la pili.
Wakati Mwingine Nchi hii usipojitoa ufahamu wanaweza kukuzoea wakakuchukuliwa poa kwahiyo wakati mwingine ni kuishi nao wanavyotaka wao.
Juzi na jana kuna wapuuzi wachache walikuwa wameanza kuitoa Yanga mchezoni kwa sakataka la FEISAL. Semaji lile la MAKOLO aliongoza kampeni ya kumchangia Fei ili apate pesa ya kwenda CAS. Lakini baada Ally Kamwe kutoa kauli ya kati ya ANDAZI na MGUNDA utachangua nini? Ghafla upepo umehama kwa sasa wachambuzi wa mchongo, kikundi cha mfalme ZUMARADI wamehamia kwa kumsakama Ally Kamwe. Yanga iko salama na hicho ndicho kinacho wakati mwingine.
Leo Yanga anaingia kazini akiwa hawazi bakuli la mla sukari wala nini? Ndugu Semaji la mabingwa amesha kata mzizi wa fitna.
Twendeni tukaishangilie Yanga, tuweke historia.