Tuition fees UDOM

Tuition fees UDOM

hipac

Member
Joined
Feb 16, 2014
Posts
24
Reaction score
23
Je, kama hujalipa kias unachotakiwa kulipa kwa ajil ya tuition fee unaweza kuwa registrated na mwisho wa kulipa n muda gan? Mwenye uelewa na hil.
 
ndgu mwisho ni tar15mwez wa10 tunatakiwa wana idodomya ,2lipe ..ila kwa tatizo la kiac gani tulipe cjajua..ila nadhani watahtaji nusu yakee.
 
pale udom hakuna msamaha, ni LAZIMA ulipe kwanza angalau nusu ya tuition fees kwa semister ya kwanza , la sivyo haiwezekani ukawa registered. hatd
 
Tuvumilie wana UDOM,mambo yanaenda kama tcu na vyuo,udsm tayari...may next udom
 
Hiyo kusema udom mwisho tar 15 si kweli wadau mi nmemaliza pale usajili huwa unaenda had November... Xema huwa wanasumbua after two weeks
 
ndgu mwisho ni tar15mwez wa10 tunatakiwa wana idodomya ,2lipe ..ila kwa tatizo la kiac gani tulipe cjajua..ila nadhani watahtaji nusu yakee.

acha upotoshaji usio na maana wewe iyo taarifa umeipatia wapi
 
siku zote mwaka wa kwanza ni waoga nani kawambia kuna mtu amewahi kosa usajiri?
 
msiogope first year udom kupo fresh sana mnacho kifikiri hakipo kabisa ila msiwe mnaamini kila jambo bila evidence coz chuo kuna watu wengi na mambo mengi.
 
Back
Top Bottom