TUITION YA MASOMO YA SAYANSI MKOA WA DAR ES SALAAM KUANZIA FORM ONE MPAKA FORM SIX

TUITION YA MASOMO YA SAYANSI MKOA WA DAR ES SALAAM KUANZIA FORM ONE MPAKA FORM SIX

Manala An Academician

Senior Member
Joined
Oct 10, 2016
Posts
119
Reaction score
57
Katika kukabiliana na changamoto ya ufaulu wa masomo ya sayansi nchini, Excellence Tuition Centre inakuletea huduma bora kabsa ya masomo ya ziada kwa wanafunzi wa sekondari kuanzia kidato cha kwanza mpaka cha sita

Masomo
Kwasasa tutafundisha masomo ya Physics, Chemistry, Biology na Mathematics ili kuwasaidia wanafunzi wote wenye uhitaji wakutimiza ndoto zao kupitia masomo haya ya sayansi kwakupewa ujuzi na mbinu mbalimbali zitakazo wapa umahiri katika masomo hayo

Mda wa masomo
Vipindi ni kila siku kuanzia saa 2:00asubuhi nakuendelea

Walimu
Kituo kinawalimu wazoefu na mahiri sana katika masomo husika walio tayari kumsaidia mwanafunzi kufikia ndoto zake

Gharama
O-level
Mwanafunzi atachangia Tshs.60,000/- kwa mwezi kwa Physics, Chemistry,Biology na Mathematics

A-Level
Gharama zitakuwa ni kwa topic na bei itatofautiana kutegemea na aina ya topic ila itaanzia Tshs. 15,000/- mpaka Tshs. 30000/- kutegemea na ukubwa wa topic

Mahali
Kituo kipo mabibo mkabala kabsa na lango kuu la NIT

NB: Kutakuwa na mitihani ya kuwajengea uwezo wanafunzi wote katika shule zote ndani ya Dar Es Salaam (fitness test) katika kila siku ya jumamosi au jumapili

Walengwa
Kituo kinalenga kuwasaidia wanafunzi wanaojiandaa kuingia sekondari, wanafunzi wanaosoma sayansi, wanafunzi wanaosoma miaka miwili (QT), watahiniwa binafsi (private candidates) pamoja na wanaorudia mitihani (Re-sitters)

Mawasiliano
Kwa maelezo zaidi wasiliana nasi kwa 0743156408 au 0676060228 au 0715425429 au 0757930779

Nyote mnakaribishwa
 
Back
Top Bottom