Fredrick Nwaka
Member
- Jul 8, 2013
- 53
- 75
Klabu ya Simba Jioni ya leo inashuka uwanja wa Taifa Mjini Harare kuchuana na FC Platnum ya Zimbabwe katika mchezo wa mkondo wa kwanza wa Ligi ya mabingwa Afrika.
Sema neno lolote kuwatakia kheri mabingwa Hawa wa soka nchini Tanzania.
Sema neno lolote kuwatakia kheri mabingwa Hawa wa soka nchini Tanzania.