Fredrick Nwaka
Member
- Jul 8, 2013
- 53
- 75
Mashabiki wa Simba ni wastaarabu,awatukani wala kurusha ngumi kama mashabiki wa madera f.c.Club hazihusiani na utaifa.
Tuwaunge mkono, washinde ili waje watutukane?
Ndio timu pekee ya sasa unayoweza kuiombea ama kuichangia na USIJUTE...Huko kwingine kilichobaki ni kulangua madela na vijoraKlabu ya Simba Jioni ya leo inashuka uwanja wa Taifa Mjini Harare kuchuana na FC Platnum ya Zimbabwe katika mchezo wa mkondo wa kwanza wa Ligi ya mabingwa Afrika.
Sema neno lolote kuwatakia kheri mabingwa Hawa wa soka nchini Tanzania.
Platinum piga hao mikia, wana midomo sana!Klabu ya Simba Jioni ya leo inashuka uwanja wa Taifa Mjini Harare kuchuana na FC Platnum ya Zimbabwe katika mchezo wa mkondo wa kwanza wa Ligi ya mabingwa Afrika.
Sema neno lolote kuwatakia kheri mabingwa Hawa wa soka nchini Tanzania.
Mtaani kwetu karibu wavuta ganja wote wako mikia FC.Mashabiki wa Simba ni wastaarabu,awatukani wala kurusha ngumi kama mashabiki wa madera f.c.
Nakuunga mkono pale jangwani mateja kibao halafu wana nguo zao zimefanana na chama tawalaMtaani kwetu karibu wavuta ganja wote wako mikia FC.
Hii[emoji28][emoji28]Mtaani kwetu karibu wavuta ganja wote wako mikia FC.
Yanga wote mademu mpaka mmeshonewa madilaMtaani kwetu karibu wavuta ganja wote wako mikia FC.
Simba ya Mo ina laana na leo wanafungwa goli zaidi ya tatu...Klabu ya Simba Jioni ya leo inashuka uwanja wa Taifa Mjini Harare kuchuana na FC Platnum ya Zimbabwe katika mchezo wa mkondo wa kwanza wa Ligi ya mabingwa Afrika.
Sema neno lolote kuwatakia kheri mabingwa Hawa wa soka nchini Tanzania.
Mnyama Simba, uko mbugani kwenye vita....ushindi kwako ni dhahiri tu....Twajuwa utashinda 3 - 0 leo hii ukiwa ugenini mbugani Zimbabwe kisha utakuja kumalizia kiporo hapa nyumbani Serengeti. Aungurumapo Simba, Yanga hujinyea bila break kama shoga vileee!Klabu ya Simba Jioni ya leo inashuka uwanja wa Taifa Mjini Harare kuchuana na FC Platnum ya Zimbabwe katika mchezo wa mkondo wa kwanza wa Ligi ya mabingwa Afrika.
Sema neno lolote kuwatakia kheri mabingwa Hawa wa soka nchini Tanzania.
Kumbe nawe ni mvuta ganja, utapona tu usihofu. Wavuta ganja wote ni Yanga maana wamezoea kucheza na viluilui pale Jangwani, siku wakisikia Simba inacheza mechi ya kimataifa wanasahau kuwa wao ni chama tawala cha utopolo/vyura na kujifanya watu wa matawi wanasupport Simba ili waonekane wajanja kwa masaa tu na wataoga hiyo siku. Mechi ikiisha wanarudi Jangwani kucheza na vyura madimbwini huku wakibwia unga.Mtaani kwetu karibu wavuta ganja wote wako mikia FC.
Hujatuletea ulichoona usiku wa leo kuhusu simba na Fc platinum maana hakuna linalotokea ktk macho lisianzie rohoni chonde mkuu tujuze mimi nimelala sijaona kitu mkuu.Ndio timu pekee ya sasa unayoweza kuiombea ama kuichangia na USIJUTE...Huko kwingine kilichobaki ni kulangua madela na vijora
Sent from my Infinix X627 using JamiiForums mobile app
Umeifanya siku yangu kuwa nzuriNdio timu pekee ya sasa unayoweza kuiombea ama kuichangia na USIJUTE...Huko kwingine kilichobaki ni kulangua madela na vijora
Sent from my Infinix X627 using JamiiForums mobile app