Mitambo imepigwa kipaipaiHujatuletea ulichoona usiku wa leo kuhusu simba na Fc platinum maana hakuna linalotokea ktk macho lisianzie rohoni chonde mkuu tujuze mimi nimelala sijaona kitu mkuu.
Yupo wapiElius maguri
Mkiwa hamunaMashabiki wa Simba ni wastaarabu,awatukani wala kurusha ngumi kama mashabiki wa madera f.c.
Sawa mkuuSimba ya Mo ina laana na leo wanafungwa goli zaidi ya tatu...
Mpaka wamrudishie mzee Kilomoni timu yake na wanachama wenzake..
Go go go Platnum fc
Haujui utabiri mkuuSimba leo anakufa 3:0
Simba Mnyama Nguvu Moja, Ushindi Daima[emoji106][emoji106][emoji106]
Simba ya Mo ina laana na leo wanafungwa goli zaidi ya tatu...
Mpaka wamrudishie mzee Kilomoni timu yake na wanachama wenzake..
Go go go Platnum fc