Moja ya changamoto kubwa tunayokutana nayo abiria ni kubanwa na haja, inaweza kuwa kubwa au ndogo, usiombe iwe kubwa unaweza jinyea.
Changamoto nyingine ni kukaa na mtu ambaye haeleweki. Changamoto yangu ya leo hapa nikiwa safarini ni tumbo kujaa gesi vijambo vinakuja navizuia, nimekaa na mbibi hapa najiuliza sijui niachie tu kitu au nividundulize nikifika sehemu rafiki niupige mluzi mmoja mrefu sana.
Ushauri tafadhali. Ni mimi juha mwenzenu.