JF kuna brains kweli kweli, au nasema uongo ndugu zangu? Hebu kwa akili zetu tujaribu kwa utulivu kujadili hii Kauli ya huyu jamaa inayosema "There's nothing more dangerous than a resourceful idiot" ya Msomi mwenzetu Scott Adams
ukiweza kuweka na ka mfano kakachombeza kwa mbali itapendeza. Kama wewe ni Tabula rasa na una stress zako usijadili