Tujadili kasoro za mkutano wa mbowe na Wahariri

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
44,629
Reaction score
83,056
1. Hapakuwepo na maridhiano, bali mazungumzo ya kuelekea maridhiano ambayo yangetupeleka kwenye maridhiano

2. Mbowe hakuandaa warithi:, swali hilo hakulijibu inavyopashwa. Chama ndicho kinachoandaa warith na si Mbowe maana hiyo itakuwa kama anarithisha cheo

MY OBSERVATION: NILIWAHI KUWASHAURI MBOWE KUWA WAMUOMBE ANSBERT AWE ANAPITI HOTUBA ZAO.....

Msikilize Ansbert ngurumo

View: https://www.youtube.com/watch?v=029MDh2YKr8
 
1. hapakuwepo na maridhiano, bali mazungumzo ya kuelekea maridhiano ambayo yangetupeleka kwenye maridhiano
2. Mbowe hakuandaa warithi:, swali hilo hakulijibu inavyopashwa. Chama ndicho kinachoandaa warith na si Mbowe maana hiyo itakuwa kama anarithisha cheo
3.

Msikilize Ansbert ngurumo

View: https://www.youtube.com/watch?v=029MDh2YKr8

Kwenye demokrasia chama hakiandai warithi, kuanda warithi au kupika viongozi wa siasa ni mambo ya vyama vya kijamaa na Ukomunisti.

CHADEMA inatakiwa itoe fursa kwa wanachama wa muda mrefu na wasio wa muda mrefu kuwa viongozi wa chama ilimradi ni watu outstanding katika jamii.
 
1. Hapakuwepo na maridhiano, bali mazungumzo ya kuelekea maridhiano ambayo yangetupeleka kwenye maridhiano

2. Mbowe hakuandaa warithi:, swali hilo hakulijibu inavyopashwa. Chama ndicho kinachoandaa warith na si Mbowe maana hiyo itakuwa kama anarithisha cheo

MY OBSERVATION: NILIWAHI KUWASHAURI MBOWE KUWA WAMUOMBE ANSBERT AWE ANAPITI HOTUBA ZAO.....

Msikilize Ansbert ngurumo

View: https://www.youtube.com/watch?v=029MDh2YKr8

hakuna kazi ingine kabisa ndrugu zango wakati mbowe anaikaribia nafasi yake ya uenyekiti kwa ukaribu zaid, right? :pedroP:
 
1. Hapakuwepo na maridhiano, bali mazungumzo ya kuelekea maridhiano ambayo yangetupeleka kwenye maridhiano

2. Mbowe hakuandaa warithi:, swali hilo hakulijibu inavyopashwa. Chama ndicho kinachoandaa warith na si Mbowe maana hiyo itakuwa kama anarithisha cheo

MY OBSERVATION: NILIWAHI KUWASHAURI MBOWE KUWA WAMUOMBE ANSBERT AWE ANAPITI HOTUBA ZAO.....

Msikilize Ansbert ngurumo

View: https://www.youtube.com/watch?v=029MDh2YKr8

Umeandika ili uandike tu. Kama chama ndio kinaandaa warithi, chaguzi za nini?

Amandla...
 
Kwenye demokrasia chama hakiandai warithi, kuanda warithi au kupika viongozi wa siasa ni mambo ya vyama vya kijamaa na Ukomunisti.

CHADEMA inatakiwa itoe fursa kwa wanachama wa muda mrefu na wasio wa muda mrefu kuwa viongozi wa chama ilimradi ni watu outstanding katika jamii.
Uelewa wako wa" kuandaa" utakuwa ni jinsi unavyo uelewa mwenyewe.
Usifikiri akina Obama waliota tu kama uyoga na kuwa viongozi wa nchi.

Kuandaa siyo lazima liweo darasa maalum la kufundisha fani ya uongozi.
Tazama viongozi wako wote wa huko magharibi kwa mabeberu; halafu uje tena ueleze haa kuwa kwa namna moja au nyingine vyama vyao vili waokota tu mitaani na kuwaa uongozi!

Hata huyo kichaa Trum hakuwa mbali na chama chake cha Reublican tokea muda mwingi sana.
 
Trump kabla hajagombea Urais mwaka 2016 alikuwa Independent, kabla ya hapo alikuwa Republican.
Obama hakuandaliwa, alijiandaa mwenyewe.
Arnold Schwarzenegger, kabla ya kuwa gavana wa California alikuwa ni actor na amerudi huko kucheza filamu.
 
Hawa wote ulio wataja chungulia mienendo yao ndani ya vyama vyao; wanazo history
Trump kabla hajagombea Urais mwaka 2016 alikuwa Independent, kabla ya hapo alikuwa Republican.
Obama hakuandaliwa, alijiandaa mwenyewe.
Arnold Schwarzenegger, kabla ya kuwa gavana wa California alikuwa ni actor na amerudi huko kucheza filamu.
Kwani maana yako ya "kuandaliwa" ni kufanya nini, kuwekwa kambini na kufundishwa?
Hawa wote ulio wataja walikuwa na misingi yao ndani ya vyama vyao vya siasa. Wamekuwa na historia inayo tambulika ndani ya vyama hivyo katika ngazi mbali mbali, na kujishughulisha na shughuli za vyama katika ngazi mbalimbali kuanzia chini; huko mitaani kwao; kwa mfano kwa kujitolea, hata kuchapisha mabango na kuyasambaza nyakati za chaguzi za viongozi. Haya haya tangazwi magazetini, mpaka hapo wanapo anza kujihusisha na siasa za ngazi za juu, kama kuwa Reresentative au Senator, ndio unaanza kuwasikia majina yao. Obama alikuwa State Representative wa Jimbo la Illinois, na hata kabla ya hapo alikuwa akijishughulisha na siasa ndani ya chama chake.
Dick Durban na yule Senator Paul Simon maarufu wa wakati huo wa Illinois ndio walikuwa 'sponsors wake wakuu wa mwanzo. Lakini hata kabla ya hao
 
Back
Top Bottom