Kwenye demokrasia chama hakiandai warithi, kuanda warithi au kupika viongozi wa siasa ni mambo ya vyama vya kijamaa na Ukomunisti.1. hapakuwepo na maridhiano, bali mazungumzo ya kuelekea maridhiano ambayo yangetupeleka kwenye maridhiano
2. Mbowe hakuandaa warithi:, swali hilo hakulijibu inavyopashwa. Chama ndicho kinachoandaa warith na si Mbowe maana hiyo itakuwa kama anarithisha cheo
3.
Msikilize Ansbert ngurumo
View: https://www.youtube.com/watch?v=029MDh2YKr8
Kuna mzee aliniambia CCM wana mbinu zaidi ya elfu 5, mpaka sasa wametumia mbinu kama 100 tu. Ila hii mbinu ya kum remote Mbowe ang'ang'anie chama ni nyoko. Yaani wamepiga kichwaniKwishney 😂😂😂😂
Mchungaji Msigwa ana Siri ZOTE za Chadema 😀Kuna mzee aliniambia CCM wana mbinu zaidi ya elfu 5, mpaka sasa wametumia mbinu kama 100 tu. Ila hii mbinu ya kum remote Mbowe ang'ang'anie chama ni nyoko. Yaani wamepiga kichwani
mchungaji KinyambeMchungaji Msigwa ana Siri ZOTE za Chadema 😀
Lema naye kaliamsha Ukurasani kwake Xmchungaji Kinyambe
hakuna kazi ingine kabisa ndrugu zango wakati mbowe anaikaribia nafasi yake ya uenyekiti kwa ukaribu zaid, right?1. Hapakuwepo na maridhiano, bali mazungumzo ya kuelekea maridhiano ambayo yangetupeleka kwenye maridhiano
2. Mbowe hakuandaa warithi:, swali hilo hakulijibu inavyopashwa. Chama ndicho kinachoandaa warith na si Mbowe maana hiyo itakuwa kama anarithisha cheo
MY OBSERVATION: NILIWAHI KUWASHAURI MBOWE KUWA WAMUOMBE ANSBERT AWE ANAPITI HOTUBA ZAO.....
Msikilize Ansbert ngurumo
View: https://www.youtube.com/watch?v=029MDh2YKr8
Umeandika ili uandike tu. Kama chama ndio kinaandaa warithi, chaguzi za nini?1. Hapakuwepo na maridhiano, bali mazungumzo ya kuelekea maridhiano ambayo yangetupeleka kwenye maridhiano
2. Mbowe hakuandaa warithi:, swali hilo hakulijibu inavyopashwa. Chama ndicho kinachoandaa warith na si Mbowe maana hiyo itakuwa kama anarithisha cheo
MY OBSERVATION: NILIWAHI KUWASHAURI MBOWE KUWA WAMUOMBE ANSBERT AWE ANAPITI HOTUBA ZAO.....
Msikilize Ansbert ngurumo
View: https://www.youtube.com/watch?v=029MDh2YKr8
basi bwana naona we are diametrically opposed!Umeandika ili uandike tu. Kama chama ndio kinaandaa warithi, chaguzi za nini?
Amandla...
Uelewa wako wa" kuandaa" utakuwa ni jinsi unavyo uelewa mwenyewe.Kwenye demokrasia chama hakiandai warithi, kuanda warithi au kupika viongozi wa siasa ni mambo ya vyama vya kijamaa na Ukomunisti.
CHADEMA inatakiwa itoe fursa kwa wanachama wa muda mrefu na wasio wa muda mrefu kuwa viongozi wa chama ilimradi ni watu outstanding katika jamii.
Trump kabla hajagombea Urais mwaka 2016 alikuwa Independent, kabla ya hapo alikuwa Republican.Uelewa wako wa" kuandaa" utakuwa ni jinsi unavyo uelewa mwenyewe.
Usifikiri akina Obama waliota tu kama uyoga na kuwa viongozi wa nchi.
Kuandaa siyo lazima liweo darasa maalum la kufundisha fani ya uongozi.
Tazama viongozi wako wote wa huko magharibi kwa mabeberu; halafu uje tena ueleze haa kuwa kwa namna moja au nyingine vyama vyao vili waokota tu mitaani na kuwaa uongozi!
Hata huyo kichaa Trum hakuwa mbali na chama chake cha Reublican tokea muda mwingi sana.
Hawa wote ulio wataja chungulia mienendo yao ndani ya vyama vyao; wanazo historyTrump kabla hajagombea Urais mwaka 2016 alikuwa Independent, kabla ya hapo alikuwa Republican.
Obama hakuandaliwa, alijiandaa mwenyewe.
Arnold Schwarzenegger, kabla ya kuwa gavana wa California alikuwa ni actor na amerudi huko kucheza filamu.
Kwani maana yako ya "kuandaliwa" ni kufanya nini, kuwekwa kambini na kufundishwa?Trump kabla hajagombea Urais mwaka 2016 alikuwa Independent, kabla ya hapo alikuwa Republican.
Obama hakuandaliwa, alijiandaa mwenyewe.
Arnold Schwarzenegger, kabla ya kuwa gavana wa California alikuwa ni actor na amerudi huko kucheza filamu.