Tarehe 30/4/2015 ni siku maalum ya kuipigia kula ya NDIYO/HAPANA katiba pendekezwa! Je mchakato wa kuandikisha vitambulisho utakuwa tayari Nchi nzima? Kama hakuna, Je wale wasiokuwa na vitambulisho vya kupigia kura maana hawakuwa wamefikisha miaka 18 wakati huo sasa wanazaidi ya miaka 18 haki yao ITAPOTEA? Na kama itapotea si nimpango wa serikali. Mwisho piga kura yako hapa NDIYO/HAPANA