tarehe 30/4/2015 ni siku maalum ya kuipigia kula ya ndiyo/hapana katiba pendekezwa! Je mchakato wa kuandikisha vitambulisho utakuwa tayari nchi nzima? Kama hakuna, je wale wasiokuwa na vitambulisho vya kupigia kura maana hawakuwa wamefikisha miaka 18 wakati huo sasa wanazaidi ya miaka 18 haki yao itapotea? Na kama itapotea si nimpango wa serikali. Mwisho piga kura yako hapa ndiyo/hapana
kama utaipigia ndiyo utamfanya hadi mwanao alie tumboni mwako.ni hapana!maoni ya wananchi yametupwa.
tarehe 30/4/2015 ni siku maalum ya kuipigia kula ya ndiyo/hapana katiba pendekezwa! Je mchakato wa kuandikisha vitambulisho utakuwa tayari nchi nzima? Kama hakuna, je wale wasiokuwa na vitambulisho vya kupigia kura maana hawakuwa wamefikisha miaka 18 wakati huo sasa wanazaidi ya miaka 18 haki yao itapotea? Na kama itapotea si nimpango wa serikali. Mwisho piga kura yako hapa ndiyo/hapana
una matatizo ya akili wewe nenda milembe wakakucheki
tuvute subira mambo yatakuwa mazuri tuu
Wawlimishe hao maana wananza kusema mara ndiyo mara hapana hawaeleweki na hawajui maana ya kura.Kura ni siri ya mtu
Assume ndo basi, shuka ukapande la Libya au Iraq, Chenge hana katiba na hata huyo babu yako mpendanmadaraka hana Katiba bali alipewa nafasi kuandika mapendekezo na sio Katiba.watanzania ndio walivo, leo hii kuna watu wataipgia katba ya CHENGE kura ya ndiyo na kusaliti mawazo yao yaliyoksanywa na mzee WARIOBA! NB-TANZANIA INGEKUWA BUS NINGESHUKA NIPANDE JINGINE.
Tarehe 30/4/2015 ni siku maalum ya kuipigia kula ya NDIYO/HAPANA katiba pendekezwa! Je mchakato wa kuandikisha vitambulisho utakuwa tayari Nchi nzima? Kama hakuna, Je wale wasiokuwa na vitambulisho vya kupigia kura maana hawakuwa wamefikisha miaka 18 wakati huo sasa wanazaidi ya miaka 18 haki yao ITAPOTEA? Na kama itapotea si nimpango wa serikali. Mwisho piga kura yako hapa NDIYO/HAPANA
Mchumia tumbo huyo hana loloteTupo na Humphrey Polepole tunafanya hivyo(tunajadili), maeneo katika chuo cha Saut_mtwara. But ni mjadala wa kitaaluma.
Mchumia tumbo huyo hana lolote
Ushapotea na hana madhara yoyote huyo sawa na mbwa kokoHahaaa sisi anatuchumia ubongo.
Ushapotea na hana madhara yoyote huyo sawa na mbwa koko