Dragunov Sniper
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 2,795
- 9
Tarehe 30/4/2015 ni siku maalum ya kuipigia kula ya NDIYO/HAPANA katiba pendekezwa! Je mchakato wa kuandikisha vitambulisho utakuwa tayari Nchi nzima? Kama hakuna, Je wale wasiokuwa na vitambulisho vya kupigia kura maana hawakuwa wamefikisha miaka 18 wakati huo sasa wanazaidi ya miaka 18 haki yao ITAPOTEA? Na kama itapotea si nimpango wa serikali. Mwisho piga kura yako hapa NDIYO/HAPANA
Ikimbu wasiwasi wako nini?usijifanye unajua kuliko TUme ya UChaguzi na Mwenyekiti wa Tume ameshatamka mara kibao kkuhusiana na suala hilo kilichopo sasa ni kwenda kujiandikisha utakaposikia zamu ya eneo lako imefika, ondoa shaka kura utapiga na naamini utaungana na mamilioni ya watanzaniwenye imani na Katiba inayopendekezwa!!!