Esokoni
Senior Member
- Aug 1, 2018
- 100
- 122
VFD ni mfumo au App ambayo inakuwezesha kutoa risiti za EFD kwa kutumia simu yako ya mkononi system hii inakuwezesha kutoa risiti ya softcopy na Hardcopy, kwa Hardcopy unatumia mashine ndogo Thermal printer ambayo unaiunganisha na simu kwa kutumia bluetooth na USB kwenye PC.
Sasa kila kitu uwa kina pande mbili upande wa uzuri na upande wa ubaya, leo nataka tupate uzoefu kutoka kwa watumiaji, Kuna wale ambao tayari wanatumia system hii tunaomba experience yako lakini pia ambao bado hawajaanza kutumia tupe mawazo yako juu ya system hii ukilinganisha na EFD ya zamani zile za kawaida ukizingatia GHARAMA, UFANISI WA UTENDAJI KAZI nk..
Mimi nitakuwepo hapa kujibu maswali na hoja zote maana mimi nasimama kote, ni mtumiaji na ni muuzaji wa mashine hizi. KARIBU WADAU.