Ktk upimaji Kuna vitu ambavyo vinaendana moja kwa moja mfano Mchoro wa mipango miji na Ramani ya upimaji, kwa kupitia mchoro wa mipango miji jumlisha na Ramani ya upimajiiliyosajiliwa ndiyo vigezo vinavyoweza kukufikisha kwenye kupata hatimiliki ya kisheria.
Apo nimejaribu kudodosa kwa ufupi tu
Apo nimejaribu kudodosa kwa ufupi tu