Kupata hati miliki inahitaji ufatiliaji wa hali ya juu wizarani.!!yaan uwe na mtu wa kuweza kupush mambo yaende kwa haraka .Lete mambo.
Ninayo nyumba kwenye maeneo yaliyorasimishwa, mwaka wa 3 huu sijapata hati na nimelipa kila kitu
mkuu naomba msaada wa kubadili jina umiliki wa kiwanja chenye hatiKupata hati miliki inahitaji ufatiliaji wa hali ya juu wizarani.!!yaan uwe na mtu wa kuweza kupush mambo yaende kwa haraka .
Fuatilia kufaham kama mchoro wa upimaji umekuwa approved wizaran..Kama ni ndiyo Tuwasiliane niweze kukusaidia kupata hati yako kwa uharaka ..ndani ya mwezi mmoja utakuwa umeipata..
》 Contact: 0672 203 616
Mtafute wakili akusaidie.mkuu naomba msaada wa kubadili jina umiliki wa kiwanja chenye hati
Mipango miji TZ tumefeli miji yetu ni ya hovyoKtk upimaji Kuna vitu ambavyo vinaendana moja kwa moja mfano Mchoro wa mipango miji na Ramani ya upimaji, kwa kupitia mchoro wa mipango miji jumlisha na Ramani ya upimajiiliyosajiliwa ndiyo vigezo vinavyoweza kukufikisha kwenye kupata hatimiliki ya kisheria.
Apo nimejaribu kudodosa kwa ufupi tu
Sijui kwa nini. Hawa maofisa wa serikali wakiona unanunua kiwanja au nyumba basi wanahisi wewe ni tajiri sana una pesa za kumqaga kumbe na wewe unaganga njaa tu.moja ya eneo lenye rushwa za wazi wazi Ni kwenye kuomba HATI
Kuna viwanja vilipimwa kimafungu huko Goba, mwanasheria kesha pitia. Nondo xilishasimikwa. Kupata hati ndio subiri x subiri. Hii unaweza fuatilia?Kupata hati miliki inahitaji ufatiliaji wa hali ya juu wizarani.!!yaan uwe na mtu wa kuweza kupush mambo yaende kwa haraka .
Fuatilia kufaham kama mchoro wa upimaji umekuwa approved wizaran..Kama ni ndiyo Tuwasiliane niweze kukusaidia kupata hati yako kwa uharaka ..ndani ya mwezi mmoja utakuwa umeipata..
》 Contact: 0672 203 616