DR Mambo Jambo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 11,622
- 26,005
- Thread starter
-
- #61
Hakuwa na Mkataba Wa kikatiba π€π€Kumbuka Kinana alishajiuzulu wakati wa Shujaa Magufuli
Mpendwa Wetu Mh Mwenyekiti Dr Samia alimuomba tu arejee kwa muda so hakuwa na mkataba wa kikatiba tena
Ahsante π
Thats True!Hi mkuu,
For the status of our nation, economically, politically, socially, I don't think we wananchi should be concerned about the happenings in ccm establishement,
Our only concern should be how to get rid of this cancer(ccm), they are destroying our country,
Samia/ccm have no regitimacy to rule, we know it, they know it, and they know without maghufurication of our electro system, they can't win on the ballot,
They should have been got ridden of yesteryears,
Ccm rulers are bunch of thieves, incompetent, thugs, they care only for there stomachs, family,
As far as am concerned, they can drop and die, the bad thing, if we don't kick, or bomb them out of state House, they will take this country into hell, shitholes,
Tatizo kubwa la Malkia ni ku "underate serious things witkout a proper timing of events"Ibara ya 19(b) ya Katiba ya CCM ya 1977, Toleo la 2022 inatoa fursa ya Kiongozi KUJIUZULU.
UTARATIBU
Makamu Mwenyekiti CCM anapojiuzulu hutakiwa kukabidhi barua ya kujiuzulu kwa Mwenyekiti wa chama Taifa. Kisha, Mwenyekiti anatakiwa Kikatiba (CCM) kuipeleka kwenye Halmashauri Kuu ya CCM Taifa. Hiki ndicho chombo chenye mamlaka ya KURIDHIA au KUKATAA kuridhia kujiuzulu kwa huyo kiongozi.
Kama chombo hiki kitaridhia, rais au Halmashauri Kuu itatakiwa kuitisha Mkutano Mkuu wa chama Taifa kwa ajili ya uchaguzi huku ikipeleka jina la Kada aliyeteuliwa ili apigiwe kura awe Makamu Mwenyekiti mpya wa chama.
Siku ya Mkutano Mkuu (ambao huwa wazi), Mwenyekiti wa Chama Taifa atasoma hadharani barua ya KUJIUZULU huko, tena mbele ya Vyombo vya Habari aliyoipokea toka kwa Makamu wake. Mfano wa hili ilifanyika tarehe 1 April 2022, ambapo Mwenyekiti wa CCM (SSH) alisoma barua ya kung'atuka toka kwa mzee Philip Mangula.
Kwakuwa Mwenyekiti wa CCM sio MAMLAKA ya Uteuzi ya Makamu wake, kuridhia kwake (rais) hakuna nguvu ya kisheria au Katiba ya Chama. Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ndiyo yenye mamlaka hayo. Hivyo, kama Halmashauri Kuu haijaridhia mzee Kinana KUJIUZULU, basi Katiba ya CCM bado inamtambua mzee Kinana kama Makamu Mwenyekiti (Bara).
Jambo ambalo binafsi nalisubiri ni kuona kama Mwenyekiti wa CCM Taifa ataisoma barua hiyo anayosema amepokea ya mzee Kinana mbele ya Mkutano Mkuu.
Ukitaka kuelewa haya niliyoyasema, nenda pitia Katiba ya CCM Ibara 19(b) & (e), sambamba na Kanuni za Uchaguzi CCM 116(d) toleo 2017.
Pia, Ibara za 105 & 106 za Kanuni za Uchaguzi za CCM, sambamba na Katiba CCM ibara 100(5)(a) & 114(1), toleo 2020.
Malizia na Ibara ya 102(12)(a) ya Katiba CCM, pamoja na Kanuni za Uchaguzi za CCM, Ibara ya 106.
Kama kuna lolote la ziada, nitafurahi kujifunza..
Je, mzee Kinana AMEJIUZULU au AMEFUKUZWA, nimeshawafungua macho kwenye hili.
karibuni Tujadili.
Pia soma
- Kuelekea 2025 - Abdulrahman Kinana, Makamu Mwenyekiti (CCM) Ajiuzulu, Rais Samia Suluhu Aridhia
Katika mambo yote ya kujadili umeona hilo?Ibara ya 19(b) ya Katiba ya CCM ya 1977, Toleo la 2022 inatoa fursa ya Kiongozi KUJIUZULU.

Mtiririko unafuatwa kama amejiuzulu, sasa yeye amefurushwa mtiririko wa nini?Chama Kinaruhusiwa Kujenga Nchi bila kuvunja Katiba ya Chama wala Kanuni za Chama
Naona anakosa Washauri wa Kisiasa Na hiyo inaweza kumuweka mahali ambapo sio pazuriTatizo kubwa la Malkia ni ku "underate serious things witkout a proper timing of events"
Hili ni kosa kubwa la kisiasa ambalo aliliifanya mtangulizi wake. Anachokifanya hivi sasa alipaswa kufanya pale awali tu alipokabidhiwa uongozi mwaka 2021.
Believe me. Kwa uamuzi wake huu wa sasa amekwisha panua wigo wa mahasimu wake, ndani na nje ya chama chake.
Akifurushwa Linapelekwa Jina tu siku ya Mkutano mkuu, Lakini Mind you Mwenyekiti hana Mamlaka ya Kumfurusha Makamu wake kwa sababu hakumchagua Yeye..Mtiririko unafuatwa kama amejiuzulu, sasa yeye amefurushwa mtiririko wa nini?
Au labda niulize kwanza, je kama amefurushwa katiba inasemaje kuhusu kuchaguliwa mwingine, ni mtiririko huo huo au kuna mtiririko wake
Labda amefurushwa na waliomchagua je?Akifurushwa Linapelekwa Jina tu siku ya Mkutano mkuu, Lakini Mind you Mwenyekiti hana Mamlaka ya Kumfurusha Makamu wake kwa sababu hakumchagua Yeye..
maana Njia iliyotumika Kumchagua Mwenyekiti ni njia iliyotumika Kumchagua Makamuπ€£π€£
Kamati Kuu ni ya Mwenyekiti Ndio sababu kila Mwenyekiti anayeingia huamua idadi ya Wajumbe wa Kamati Kuu anayoitaka yeye πππHakuwa na Mkataba Wa kikatiba π€π€
Seriously kabisa..
Nataka Kuamini kama Unatania..
Kamati iliyopitisha Jina Lake ilikuwa ni kamati ya CC na wala haouchaguliwa na Mwenyekiti..
Kuna vitu huwa tunadanganyana Mwenyekiti Hana maamuzi yeye kama Yeye Kuamua Kipi kifanyike na Kipi kisifanyike ila Kamati kuu pamoja na CC ndo yenye maamuzi..
Hakuna kiongozi ambaye yupo Pasipo kuwepo kikatiba isipokuwa Naibu waziri Mkuu pekeee
Hapo Uchawa Uko wapi?Katika mambo yote ya kujadili umeona hilo?
Uchawa shida sana.
Well saidHapo Uchawa Uko wapi?
Uko saa Kiakili kweli Kijana?
Ulitaka Nijadili Kuhusu Mapenzi au Wasanii wenu au Simba na Yanga??
Huku nikiacha Tunu ya Nchi yangu au Mambo muhimu katika nchi yangu ambayo mimi ndiyo mnufaika Mkuu yakinipita bila Kuhoji kwaninu yametokea?
Ulitaka Nisihoji nisubiri mpaka mambo yatakapoharibika ndo nijifanya kuhoji kama Mnafiki?
Kijana Una Elimu gani? maana Kwa uwezo wako wa Kufikiri hufai hata kuwa na Elimu ya Darasa la Saba maana Mh Msukuma Akiwa Bungeni anakuzidi Ufikiri wewe!
na hata Mjukuu wangu anayesoma Form one anakuzidi uwezo wa Kufikiri na Kuchambua Mambo kwa upana..
Unajua kwanini Vijana wa Tanzania Mnaonekana Wapuuzi Kuliko Vijana wa Nchi zingine??
Kwasababu Vijana wa Tanzania hamna Critical Intellectial Thinking mnachowaza Nyinyi ni kufanya Kitu bila kufikiria wala Reasoning na ndo maana Vijana mnaburuzwa sana...
Unakuta Mtu kama wewe asubuhi unawaza Mpira, Mchana unawaza Diamond na Alikiba,.Usiku unawaza Demu wako!
Unajiuliza Ni muda gani kama Kijana utapata Kuchukua Vitabu usome upanua Akili na ufahamu wako au upitie Sheria za Nchi ili upate ufikiri wa kulinda Rasilimali zako??
Napata Hofu na Vijana wengi sana maana Wengi mnayatamani Maarifa ila Maarifa yana Mbio kuliko Nyinyi..
Wengi ni Weupe sana Kichwani, Jitahidini Kujiengage kwenye Midaharo na Kujadili hoja mtajua kwanini sisi wakubwa Wenu tuna uchungu na nchi na Kwanini tunaona Kama taifa tunaitaji kushauri ili mambo yaende sawa..
Asante na karibu
Idadi ya wajumbe ipo kikatiba Mkuu..Kamati Kuu ni ya Mwenyekiti Ndio sababu kila Mwenyekiti anayeingia huamua idadi ya Wajumbe wa Kamati Kuu anayoitaka yeye πππ
haupo utaratibu uliokiukwa na komrade A. Kinana katika kuomba kupumzika umakamu mwenyekiti wa chama bara kwa kujiuzulu..
Ni kweli kabisa Comrade ila Utaratibu uliotumika kwa Kuridhia Ndo unaojadiliwa hata kama Jasiri kinana kajiuzulu kwa Barua ila mwenyekiti wa CCM sio excutive ila Ni rank ya Juu ya uongozi kwahiyo hana Maamuzi kikatiba na Kikanuni na hana Mandatory ya Kuridhia Kwake kujiudhuru ilibdi atangaze kwa Umma Kupokea Barua ya Kujiuzulu..haupo utaratibu uliokiukwa na komrade A. Kinana katika kuomba kupumzika umakamu mwenyekiti wa chama bara kwa kujiuzulu..
heshima,
mila, desturi na utamaduni wa CCM katika kung'atuka uongozini daima daima utaenziwa na kamwe hakuna sababu ya mwanaccm kua na mashaka juu ya uamuzi wa comrade Kinana na wengineo kuomba kupumzika uongozi wa chama..
CCM ina hazina ya wanachama shupavu, madhubuti na wenye uwezo kushika nafasi ya comrade Kinana na CCM ikasonga mbele......
ni muhimu maandiko kama haya tukayatumia academically, kuongeza uelewa na ufahamu wa kutosha juu ya taratibu, kanuni na sheria za CCM katika katika kujaza nafasi zilizowazi kwa sababu mbalimbali na wanachama wake π
Michezo ya kihuni ya sa100 , amemfanyia job,chongol,Mzee Tembo,Ni kweli kabisa Comrade ila Utaratibu uliotumika kwa Kuridhia Ndo unaojadiliwa hata kama Jasiri kinana kajiuzulu kwa Barua ila mwenyekiti wa CCM sio excutive ila Ni rank ya Juu ya uongozi kwahiyo hana Maamuzi kikatiba na Kikanuni na hana Mandatory ya Kuridhia Kwake kujiudhuru ilibdi atangaze kwa Umma Kupokea Barua ya Kujiuzulu..
Na kiitishwe kikao cha Chama Cha Dharura Na wajumbe walidhie
π€£π€£π€£π€£Michezo ya kihuni ya sa100 , amemfanyia job,chongol,Mzee Tembo,
Uko Zako nyumbani unasoma gazeti, mara mkeo anakuja kukuambia ameona mtandaoni umeandika barua ya kujihuzulu
Unabaki hiiπ².
NAPE, JANUARY NA KINANA karma inawahukumu! Waliiba kura za mzee LOWASA 2015 mchana kweupe.
Na Bado!.