Tujadili matokeo ya darasa la vii- 2010

Tujadili matokeo ya darasa la vii- 2010

MAFUNZO

Member
Joined
Sep 4, 2012
Posts
47
Reaction score
29
Waziri .....katika kutoa tathimini ya ufaulu amesema zaidi ya wanafunzi laki tano wamefaulu kwa daraja D. kwa tafsiri robo tatu ya wafaulu wameshinda kwa daraja D. Yaani kwa wastani wa maksi 11 kila somo kati ya maksi 50. Maksi za kila somo la primary ni 50 unazidisha mara 2 = 100. ili kupata wastani unagawanya maksi alizopata kwa tano. Yaani aliyepata maksi zote 250x 2 = 500 ukigawanya kwa 5 unapata 100.
A= 100 - 81
B= 80 - 61
c=60 - 41
D= 40 - 21
E= 20 - 0
Ukiangalia Robo tatu ya wanafunzi hao wamefaulu kwa daraja D. Unasemaje kuhusu mwelekeo wa elimu yetu?
 
Back
Top Bottom