Hapo pa kufanya video inabidi anayeenda awe ngangari, kumbuka kampeni ya Kigwangala ni wachache walifika tena kwa tabu ungewaona ungewaonea huruma.Wasanii wetu pia wakatolee video zao kwa mlima hapo, zinapotazamwa huko duniani watazame na mlima wetu, wao wanapishana kuimba nyimbo za kumsifu mtukufu ili wapate dili la kampeni.