Tujadili na kuorodhesha wazo au biashara itakayotusaidia kufanya biashara mpya

projectman

JF-Expert Member
Joined
Sep 8, 2015
Posts
349
Reaction score
486
Jamani, tuzungumze vitu real, kama unayo idea au biashara unazo zijua mfano;

1. Aina ya Idea.
2. Mtaji wa bidhaa.
3. Namna ya Kutengeneza iyo bidhaa, upatikanaji wa materials.
4. Soko lake linapatiaka wapi.
6. Mengineyo.
 
Niko na idea ya kuuza dagaa toke bukoba. Maana ndoo moja 10k so ukiwa na 100k unapata ndoo 10. Kwa bongo ndoo moja huwezi kosa 30k kiwango cha chini hicho.

Usafiri ndoo 10 ni loba moja kama sikosei nauli toka Bukoba mpaka Dar haiwezi zidi 25k/30 hapa yakiwa mengi maloba unapakiza kwa gari za mizigo unaweza punguziwa bei.

Hilo loba moja iko na ndoo 10 mara 30k shingapi 300k. Toa nauli 30k. Unabaki na 270k atatufanye 250k faida 150k.

Idea yangu hiyo hapo soko lipo, napenda kuwasilisha.
 
Biashara ya nguo
Mtaji wa kuanzia kati ya 2ml-3ml
Mzigo unachukua jumla.
Ujuzi ni kupoint nguo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…